libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,474
- 3,631
Hahaha hii kaliNi Tanzania pekee MTU anayedai ana ushahidi wa wizi mkubwa na ufisadi anaupeleka studio badala ya mahakamani huku akimtaka mtuhumiwa ndio aende mahakamani...
Hahaha hii kaliNi Tanzania pekee MTU anayedai ana ushahidi wa wizi mkubwa na ufisadi anaupeleka studio badala ya mahakamani huku akimtaka mtuhumiwa ndio aende mahakamani...
Mbona unajibu kwa hasira, au madhara ya kutawaliwa na ccm muda mrefu.?Na mimi pia, sina sababu ya kumheshimu Dr. Mihogo mimi.
Kwani hao wengine huko waliko ni wagombea Urais.?
Mwalimu wa sheria Dr Mwakyembe kashafafanua kwamba lowasa atashtakiwa na kupelekwa mahakamani na kwamba ushahidi wote upo. Hata Dr Slaa nae kasibitisha ushahidi upo, ni jambo la kusubiri na kuona
Kinachomis ni kuwa umelishwa sumu mbaya kuamini beyond reasonable doubt(sijui kama unajua maana ya hilo neno) kuwa EL ni mwizi. The only instiitution inayoweza kujiridhisha pasipo mashaka - beyond reasonable doubt ni mahakama pekee. So long EL hajadhibitishwa na mahakama kuwa ni mwizi, kumuita hivyo ni kosa la jinai na unaweza kufunguliwa mashitaka ya kuzusha. Acha kulishwa mizoga na ccm na Samsoni wao Slaa. Delila keshamnyoa kipara Samsoni na nguvu zimemuishia anazunguka kwenye matv na kukaa hotelini. Kukaa hotelini sio kuhofia usalama bali amekuwa contained na ratiba yake na movements zake zote hata simu zake. Wanamtumia watakavyo wakishamaliza kiu yao atatupwa nje kama mzogaNapata tabu sana kuelewa kwann jitu ambalo limethibitika beyond doubt kuwa ni jizi na fisadi halishughulikiwi kisheria na wananchi tunabaki kubishana mtandaoni.. Ama kuna kitu namiss hapa?
Nilitangaza hadharani kuwa nilitaka kuvunja mkataba wa richmond nikazuiwa na mamlaka kutoka juu, pia nikasema kama yupo mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na richmond ajitokeze hadharani na anipeleke mahakamani!! Huyo aliezungumza jana kuwa ana huo ushahidi siku nyingi mbona hakunishtaki?
Edward Lowasa
Wakati tunasubiri kura yangu na familia yangu inakwenda kwa Lowasa
Mwalimu wa sheria Dr Mwakyembe kashafafanua kwamba lowasa atashtakiwa na kupelekwa mahakamani na kwamba ushahidi wote upo. Hata Dr Slaa nae kasibitisha ushahidi upo, ni jambo la kusubiri na kuona
Kinachomis ni kuwa umelishwa sumu mbaya kuamini beyond reasonable doubt(sijui kama unajua maana ya hilo neno) kuwa EL ni mwizi. The only instiitution inayoweza kujiridhisha pasipo mashaka - beyond reasonable doubt ni mahakama pekee. So long EL hajadhibitishwa na mahakama kuwa ni mwizi, kumuita hivyo ni kosa la jinai na unaweza kufunguliwa mashitaka ya kuzusha. Acha kulishwa mizoga na ccm na Samsoni wao Slaa. Delila keshamnyoa kipara Samsoni na nguvu zimemuishia anazunguka kwenye matv na kukaa hotelini. Kukaa hotelini sio kuhofia usalama bali amekuwa contained na ratiba yake na movements zake zote hata simu zake. Wanamtumia watakavyo wakishamaliza kiu yao atatupwa nje kama mzoga
pumbavu sanaSipati picha hiyo siku Lowassa anaapishwa!! Hiyo nyomi itakaa wapi kushuhudia taifa la watanzania wakipata uhuru na mamlaka halisi katika nchi yao waliyoikosa kwa miaka nenda rudi.
Kinachomis ni kuwa umelishwa sumu mbaya kuamini beyond reasonable doubt(sijui kama unajua maana ya hilo neno) kuwa EL ni mwizi. The only instiitution inayoweza kujiridhisha pasipo mashaka - beyond reasonable doubt ni mahakama pekee. So long EL hajadhibitishwa na mahakama kuwa ni mwizi, kumuita hivyo ni kosa la jinai na unaweza kufunguliwa mashitaka ya kuzusha. Acha kulishwa mizoga na ccm na Samsoni wao Slaa. Delila keshamnyoa kipara Samsoni na nguvu zimemuishia anazunguka kwenye matv na kukaa hotelini. Kukaa hotelini sio kuhofia usalama bali amekuwa contained na ratiba yake na movements zake zote hata simu zake. Wanamtumia watakavyo wakishamaliza kiu yao atatupwa nje kama mzoga
Ni JF pekee mtu anapojidai kumjua mtu ambaye hajawahi hata kumuona!Mbona unajibu kwa hasira, au madhara ya kutawaliwa na ccm muda mrefu.?