mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 798
my president, edward ngoyai lowassa
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything

Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.
Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.
my president, edward ngoyai lowassa
Jina jipya tamu sana hili Dr BLAA.
Mi nilijua katoa ushahidi.... kumbe kajibu hivyo... majibu mepeeeeeesi... ajitokeze hadharani na ushahidi. ili slaa atoe zile silaha alizobakiza
Majibu mepesi kwa hoja ya msingi
"Anae muunga mkono lowassa akapimwe akili"Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazimaEdward Lowasa.
hoja a kitoto kabisa hii anatoa lowasa, hvi kwa hoza hz za kilofa alafu ndio awe raisi wa nchi?? hatumchagui lowasa labda awe katuloga