GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,468
Limedhibitika mahakamani au midomoni mwa watu?
Unaelewa matumizi ya hizi alama kwenye mijadala kama hii?
Limedhibitika mahakamani au midomoni mwa watu?
mazombie wa mbowe bana! miaka nane mmekua mnamuita edo fisadi baada ya kuhongwa bil 10 kimya. si mbowe lissu wala mdee anazungumza tena kuhusu maadili washakula rushwa. mbowe anabwabwaja porojo kwenye majukwaa utadhani dj au mc.anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything
Kwa mtu mpumbavu kama Lowasa uwezi, kujibu kwa wepesi hivyo, labda kwa nyumbu watakuelewa, Anasema wengine wako wapi idiot!!!, wangapi wanagombania urais si ni wewe tu, Mwizi ni mwizi tu tunataka mtu safi na siyo mwizi kama wewe.
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything
Usitukane, jadili kwa staha tu.Bahati mbaya wale wasiogombea ndiyo wabaya zaidi kiufisadi. Raisi anaweeza dhibitiwa kirahisi.Weng Mnaochangia Hapa Ni Wapuuz Hata Mgombea Wenu Mwenyewe, Slaa Kakomaa Na Lowassa Kwakuwa Anagombea Urais Uku Ana Kashfa Nyingi, Sasa List Of Shame Waliobak Wanagombea Urais?
Mafisadi na majizi walioifikisha hii nchi hapa ilipo wanajulikana haina haja kuwataja kwani hujui ni chama gani kipo madarakani?Endelea kujitoa ufahamu mwaka mjiandae kisakolojia kuwa wapinzani.
TANZANIA MPYA INAKUJA.
LOWASA NDO RAISI WETU MTARAJIWA.
lowassa anatoka hata jana u/taifa ilidhihilika.
Daaahhh mzee kamaliza kila kitu
Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.
Unapouzungumzia ufisadi wa CCM,unakosaje kuwataja Sumaye na Lowasa,labda hujui unachokishabikia.Mguu uliokanyaga mavi hautaacha kutoa harufu eti kwa sababu umefichwa na soksi na kiatu.Hao jamaa bado wana harufu ya ufisadi
Napata tabu sana kuelewa kwann jitu ambalo limethibitika beyond doubt kuwa ni jizi na fisadi halishughulikiwi kisheria na wananchi tunabaki kubishana mtandaoni.. Ama kuna kitu namiss hapa?
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything
Hayo majibu kayatoa lini? Au ndio watoto wa bavicha mmekuw mdomo wake kam mbatia? Hatutak poroj yy kam anajiamin apinge hadhalan
Lowasa akili zake nyepesi sana anazidiwa na kiranja mkuu uwezo wa kufikiri.Nilitangaza hadharani kuwa nilitaka kuvunja mkataba wa richmond nikazuiwa na mamlaka kutoka juu, pia nikasema kama yupo mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na richmond ajitokeze hadharani na anipeleke mahakamani!! Huyo aliezungumza jana kuwa ana huo ushahidi siku nyingi mbona hakunishtaki?
Edward Lowasa