Lowassa Amjibu Slaa

Lowassa Amjibu Slaa

Kwakuwa Dr ulisema huwa unapita huku,basi naomba tu ujue kuwa hata ile heshima ndogo uliyokuwa umebaki nayo sasa tushaiondoa pia
 
Majibu mepesi kwa hoja ya msingi
Hivi lumumba wote hamna akili eeh? Mnasema mnaushahidi mtuhumiwa anawaambia mumshtaki mnaogopa tuwaeleweje? Au kwenu nyinyi dawa ya ufisadi ni midahalo sio kupeleka mahakamani wafilisiwe na kufungwa. Hamna jipya. LOWASSA AMEWASHIKA PABAYA.
 
Dr.mihogo anakihoro na mabilion yav ccm..na lile shangingi lake linamponza
 
Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.

Kwani hao wengine huko waliko ni wagombea Urais.?
 
Nilitangaza hadharani kuwa nilitaka kuvunja mkataba wa richmond nikazuiwa na mamlaka kutoka juu, pia nikasema kama yupo mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na richmond ajitokeze hadharani na anipeleke mahakamani!! Huyo aliezungumza jana kuwa ana huo ushahidi siku nyingi mbona hakunishtaki?

Edward Lowasa


Utaratibu Wa kumshotaki nafiri alieleza....ama hukusikiliza hata speach ya Dr.slaa (kiboko ya mafisadi)
 
Ni Tanzania pekee MTU anayedai ana ushahidi wa wizi mkubwa na ufisadi anaupeleka studio badala ya mahakamani huku akimtaka mtuhumiwa ndio aende mahakamani...

Cha kusikitisha zaidi ni kwamba wanasheria wamekaa nao huu ushahidi chumbani, badala yake wanaomba mdahalo!! Hivi mahakama zipo likizo?? Shame on them.
 
Napata tabu sana kuelewa kwann jitu ambalo “limethibitika beyond doubt” kuwa ni jizi na fisadi halishughulikiwi kisheria na wananchi tunabaki kubishana mtandaoni.. Ama kuna kitu namiss hapa?

Umekaririshwa hilo neno la beyond reasonable doubt... Mamlaka yenye kuthibisha hayo ni Public Prosecutor pale mahakamani.. Sasa jiulize why hawampeleki kwa court mtu wanayemtuhumu ni mwizi tena wana ushahidi! ( The one who alleged must prove)....

Bro shtuka, amka hivi Mama yako akibakwa au baba yako akilawitiwa nani ataye fungua shauri? Unadhani polisi watakuja kuwabembeleza wazazi wako?

#T2015ENL #Mabadiliko
 
Hivi bado hamjakoma?Ngoja Dr.Slaa arudi kivingine aendelee kuwasambaratisha mafisadi mliowakumbatia.Mwaka huu hadi mseme poooo badala ya pipo
 
Mi nilijua katoa ushahidi.... kumbe kajibu hivyo... majibu mepeeeeeesi... ajitokeze hadharani na ushahidi. ili slaa atoe zile silaha alizobakiza
Ushahidi anatakiwa kwanza kuutoa anayeshitaki... Mihogo kama ana ushahidi, anatakiwa aupeleke kwa DPP
 
Kwa mtu mpumbavu kama Lowasa uwezi, kujibu kwa wepesi hivyo, labda kwa nyumbu watakuelewa, Anasema wengine wako wapi idiot!!!, wangapi wanagombania urais si ni wewe tu, Mwizi ni mwizi tu tunataka mtu safi na siyo mwizi kama wewe.

kwa hiyo ww ulitaka ajibuje?
 
Hivi bado hamjakoma?Ngoja Dr.Slaa arudi kivingine aendelee kuwasambaratisha mafisadi mliowakumbatia.Mwaka huu hadi mseme poooo badala ya pipo
Dr. Mihogo ni kibaraka tu. Habadili mtu asilani!!! Tumeshaianza safari kuitafuta Kaanani... Haturudi wala kugeuka kuitazama Misri..
 
"Ni dhahiri kuwa ili dhahabu iitwe dhahabu ni lazima ipite katika moto"...Lowassa ni dhahabu,sharti ipite katika mioto mikali sana!!
 
Dr. Mihogo ni kibaraka tu. Habadili mtu asilani!!! Tumeshaianza safari kuitafuta Kaanani... Haturudi wala kugeuka kuitazama Misri..

Ndio maana Dr.Slaa anawaelimisha kwamba kanaani hamfiki kwa sababu anayewaongoza ni Farao sio Musa
 
Back
Top Bottom