Lowassa Amjibu Slaa

Lowassa Amjibu Slaa

hamna asiye jua athali za ufisadi katika maendeleo ya nchi mpaka kwa mtu moja moja kama ndivyo kwa nini hii serikali sikivu isiwafungulie mashtaka hao watu walio sababisha dardship kwa wanachi kiuchumi kwa kufanya ufisadi mkubwa inawaacha tu,serikali gani haina meno mpaka waziri mkuu/Raisi anakua juu ya nchi this is stupidity. Jk anayokinga ya kushtakiwa.. so haitamgusa-hapa ndipo panaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwenye chuki,umesema mwenyewe kuwa prezidar anahusika tena yeye ndo kinara unamwacha yeye unampeleka E.L ar u serious kwel mkuu,badili mtazamo wako ni bora nugesema wapelekwe wote ningekuona wa maana Ataenda kunyea debe huyu mzee.. ndo akome kuanzisha vita ya mawe huku anaishi kwenye nyumba ya vioo[/QUOTE]
 
Hivi bado hamjakoma?Ngoja Dr.Slaa arudi kivingine aendelee kuwasambaratisha mafisadi mliowakumbatia.Mwaka huu hadi mseme poooo badala ya pipo

Nawashangaa fisiem mwakyembe ni mwanasheria akusanye ushahidi apeleke kwa dpp Lowassa aende mahakamani
Msipige kelele tuu
Hapa UKAWA
 
Hata Mzee wa mabadiliko uite press useme ww n fisadi ntakupigia tu kura yangu.
 
Maneno mengi siku hizi siyo dili, tunataka utekelezaji zaidi na LOWASA anayo sifa hiyo.
 
Huyu padrii amerukwa na akili kabisa wivu utamuua . kwa jinsi alivyo na roho mbaya hata akifungu hiyo shule au hospital nitazunguka nchi nzima kuamasisha watu wasiende hapo hata kama akitoa huduma za bure hatutoenda.
Rais wa mioyo yetu leo amerukwa na akili!
 
Back
Top Bottom