Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Yaani mwambieni daktari Mihogo wenu... Hata aongee nini, hapa ni lowassa tuUtaratibu Wa kumshotaki nafiri alieleza....ama hukusikiliza hata speach ya Dr.slaa (kiboko ya mafisadi)
Yaani mwambieni daktari Mihogo wenu... Hata aongee nini, hapa ni lowassa tuUtaratibu Wa kumshotaki nafiri alieleza....ama hukusikiliza hata speach ya Dr.slaa (kiboko ya mafisadi)
Kwani hao wengine huko waliko ni wagombea Urais.?
Umekaririshwa hilo neno la beyond reasonable doubt... Mamlaka yenye kuthibisha hayo ni Public Prosecutor pale mahakamani.. Sasa jiulize why hawampeleki kwa court mtu wanayemtuhumu ni mwizi tena wana ushahidi! ( The one who alleged must prove)....
Bro shtuka, amka hivi Mama yako akibakwa au baba yako akilawitiwa nani ataye fungua shauri? Unadhani polisi watakuja kuwabembeleza wazazi wako?
#T2015ENL #Mabadiliko
kwa hiyo we ulitaka aandike kitabu?
Ni Tanzania pekee MTU anayedai ana ushahidi wa wizi mkubwa na ufisadi anaupeleka studio badala ya mahakamani huku akimtaka mtuhumiwa ndio aende mahakamani...
Mmeiondoa wewe na nani.?
Asante sana mkuu, sasa sijui huko mahakamani atafuata nini!
Mmeiondoa wewe na nani.?
Kamanda heshima kwako.
Sisi tunazidi kusonga mbele adui yetu siyo Dr.Slaa wala Lowasa aduia yetu ni wale majizi na mafisadi waliyoifikisha nchi yetu hapa ilipo kwa sasa mwaka huu lazima tuwapumzishe.
TANZANIA MPYA INAKUJA CHINI UTAWALA MPYA WA KIPENZI CHA WATANZANIA LOWASA.
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything
Iwe kwako pia mkuu, asante sana.
Kumbe adui zenu ni majizi na mafisadi!!mbona viongozi wako hawathubutu kutamka hayo maneno hata kwenye ilani ya Chadema hakuna hayo maneno,wewe umeyatoa wapi?
Napata tabu sana kuelewa kwann jitu ambalo limethibitika beyond doubt kuwa ni jizi na fisadi halishughulikiwi kisheria na wananchi tunabaki kubishana mtandaoni.. Ama kuna kitu namiss hapa?
Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.
Dr Mihogo amejivua nguo.
Sisi tunasonga mbele mkuu mpaka tumwondoe adui yetu aliyetufikisha nchi yetu hapa ilipo kama wenye ushahidi wa tuhuma wanashindwa kupeleka mahakamani hao ni kupuuzwa kabisa .
TANZANIA MPYA INAKUJA NDANI UTAWALA WA KIPENZI CHA WATANZANIA LOWASA.