Lowassa Amjibu Slaa

Lowassa Amjibu Slaa

Weng Mnaochangia Hapa Ni Wapuuz Hata Mgombea Wenu Mwenyewe, Slaa Kakomaa Na Lowassa Kwakuwa Anagombea Urais Uku Ana Kashfa Nyingi, Sasa List Of Shame Waliobak Wanagombea Urais?

We nawe pimbi. Ushaambiwa kwenye hiyo list kuna mpaka rais.... achia mgombea. Na Dr. Mihogo wala hajishughulishi nao hao wengine.

Tafsiri ni rahisi. Hataji wengine kwakua wapo CCMscrow!!
 
Safi sana Rais wetu Lowassa. Maneno machache yaliyosheheni siyo SAA nzima ya mhongwa 1.5m pounds na u h a r o
 
Ndugu zangu watanzania
Napenda mjue kuwa kila mtu afanyapo maamuzi ana lengo. Nasababu ya kufanya hayo
Mimi niiliimbia serikali iliyokuwa juu yangu kipindi ni waziri mkuu
Kuwa wavunje mkataba na kampuni hewa Richmond lakini uongozi wa juu Yangu ulinikatalia pendekezo lile na Mimi nikaonekana ndio mhusika jambo ambalo halina ukweli wowote
‪#‎Mimi‬ sihusiki na sakata la Richmond na sitaacha kusema
Na Mungu ndie anaenijua zaidi
Sasa wote na huyo anaeita waandishi na kunichafua kwanini anishitaki magazetini badala ya mahakani na kipindi niko CCM haku wai kunichafua hivi
Watanzania tuwe waelewa na watulivu na tuendelee na safari yetu hadi ikulu naomba tuungane pamoja tuitoe serikali ya CCM madarakani
Nawatakia Jumapili njema

Edward Lowassa
 
Rais wetu mtarajiwa anajibu in short hana blabla km dr. Safi sn mabadiliko ni lazma
 
Hivi Rushwa na Ufisadi havina mashiko katika kuvipinga? maana mh. EL hataki wamsingizie yeye peke ake.
 
Ndugu zangu watanzania
Napenda mjue kuwa kila mtu afanyapo maamuzi ana lengo. Nasababu ya kufanya hayo
Mimi niiliimbia serikali iliyokuwa juu yangu kipindi ni waziri mkuu
Kuwa wavunje mkataba na kampuni hewa Richmond lakini uongozi wa juu Yangu ulinikatalia pendekezo lile na Mimi nikaonekana ndio mhusika jambo ambalo halina ukweli wowote
‪#‎Mimi‬ sihusiki na sakata la Richmond na sitaacha kusema
Na Mungu ndie anaenijua zaidi
Sasa wote na huyo anaeita waandishi na kunichafua kwanini anishitaki magazetini badala ya mahakani na kipindi niko CCM haku wai kunichafua hivi
Watanzania tuwe waelewa na watulivu na tuendelee na safari yetu hadi ikulu naomba tuungane pamoja tuitoe serikali ya CCM madarakani
Nawatakia Jumapili njema

Edward Lowassa

Jamani huyu mzee kaanza kuchafuliwa tu wakati yuko UKAWA kweli?? CDM ndo waanzilishi wa kashfa hii na kamati ikadhibitisha hilo na all the time kilio chetu kwa CCM ni kukumbatia MAFISADI. But tumekukubali ugombee ili utuletee mtaji and our hope is that you have changed. Ila hatutaki huyo jamaa ZERO na wengine wa aina yake hatuwataki maana hakutakuwa na maana tena ya kupinga ufisadi. Ukawa siyo pango la mafisadi tafadhali
 
Dr.Slaa ataingia ktk historia ya nchi kama vile vita vya majimaji.Sijui nimeeleweka....?????
 
Lowasa kwanza...histori hata ya chief mkwawa ni historia....kwa sasa si historia bali raisi e.l kwanza..
 
ni haki yako kuchagua, ila familia nao usiwaburuze, waache wachague kwa utashi wao, CCM ushindi wa kimbunga upo palepale,

kama "kuburuza" , familia yangu ndio "wanioniburuza" mimi kwa kunielewesha kwamba tatizo kuu wala sio raisi bali ni katiba na sera mbovu, na mimi naamini hilo kwa sababu naamini Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete wote walikuwa "safi" na "wachapa kazi" walipoingia ikulu, lakini waliingia wakatoka wakatuacha na matatizo yetu
 
Ukiona hata mtoto wako wakati anakuwa hajawahi kusingiziwa kitu chochote hata siku moja wala hajawahi kukuingiza hasara hata ya kupasua grasi ujue huyo mtoto wako akikua atakuja kuwa hana akili vizuri.

Hehehe
 
Back
Top Bottom