Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

Hivi unataka makosa tuliyofanya kwa JK tuarudie tena? Are you out of your mind kiongozi? Au unadhani zama za JK na sasa ni sawa?

Leo tulikuwa tunajikumbusha jinsi mdahalo ulivyomgharimu boss wa TBC....bora Mfuruki kajiajiri maana sioni kama kungetokea mwenye jeuri ya kulianzisha baada yalomkuta ex boss wa TBC
 



Nimeona tweet ya M/kiti wa CEOrt Ali A. Mafuruki kuhusu debate ya waliotia nia ya kuwania Uraisi kupitia CCM. Ila kwenye nyongeza amesema anasikitika kwa Mh. Lowassa kutakaa kuhudhuria.

Bwana Mafuruki huoni huo ni wendawazimu?
+ Au bwana Mafuruki unajua sera na ilani ya CCM inazungumzia nini kuhusu uchumi?

Never heard this name before! Who is Mafuruki?
 
Lazima tuwe na mdahalo ili kujua uwezo wa viongozi wetu hivyo kitendo cha Lowasa kukataa kwenda kwenye mdahalo ni uwoga kwakua hana hoja na hajajipanga kisera licha ya Chama chake kuwa na ilani ya Uchaguzi
Tangazo lipo wazi awamu ya kwanza ni wagombea wa CCM wenyewe kwa wenyewe halafu baadae opposition watapoteua mgombea wao nao watashirikishwa kwenye huo mdahalo na hio itakuwa ni hatua ya mwisho baaada ya kila chama na tume ya Uchaguzi kupitisha majina
 
Watu wengine wanataka umaarufu kwa lazima!huo mdahalo wa nini ht kbla hajapitishwa hata mm ningekataa!haina mantik yeke
 
Lowasa ni mtu wa kazi tu, maneno mengi hana na hicho ndicho kitakachomponza kwenye majukwaa, alishindwa kabisa kukidhi shauku ya waliohudhuria siku ya kutangaza nia. Mimi naona huyu mzee bora atulie tu kula pesa zake other wise ataishia kupata pressure tu, mwaka huu ni mchakamchaka si mchezo!
 
Never heard this name before! Who is Mafuruki?

Kwa ufupi Ali Mufuruki ni mmoja kati ya matajiri wa tano katika Tanzania hii ni mfanyabiashara kama ilivyo Bakhresa,Rostam,Mohamedi Dewji, R.Menghi
 
Come on @ewgms!
Economic issues za taifa letu zinaeleweka, sio lazima waje na bango la chama kuzielezea. Lakini pamoja na hilo, jinsi gani Lowassa (mfano) ataweza kusimamia sera za chama chake? Kama mtu anashindwa kusimama na kueleza vipaumbele vyake, atawezaje kuliongoza taifa?

Mkuu CCM hawachugui mtu kuja kuleta sera mpya tofauti na kwenye ilani ya chama chao. Na anayepitishwa kugombea uraisi anakuwa msimamizi tu wa sera na ilani ya uchaguzi ya mwaka huo.

Kama Ali Maufuruki angesema tunapima uwezo wa wagombea uraisi kupitia CCM hapo nisingemtetea Lowassa kukimbia.

Ukizijua taratibu za vyama utaona kabisa Lowassa yuko sawa.

Kuhusiana na uchumi wa nchi hii kila mwaka ilani ni tofauti kuanzia kwa Mwinyi mpaka Kikwete.

Kuna general economical issue ambazo zinatambulika lakini zitakuwepo kwenye sera na ilani ya CCM, jibu wote hatujui sasa yanini akapoteze muda pale kufurahisha watu wachache.
 
Matendo hayahitaji maneno mengi.......tunataka rais mtendaji si mnenaji....lowasa ana mipango na ishue zake hiyo tarehe pia sio kuwa mgombea urais uwe mtumwa wa midahalo.. Kumbuka midahalo mingine inaandaliwa kwa sababu fulani.. Atafanya midahalo na wananchi si ya mganga njaaa mufuruki ambaye hata mdahalo wake hajawaona au kuwataja na kushirikisha watia nia wengine zaidi ya aliyowataja wapi magufuli,mzee jangala,mama amina, makongoro eti so sadly lowasa amekataa ...ameona lowasa ndio ingekuwa turufu ya kupata hela nyingi kutoka kwa wadhamini wa mdahalo.....its like show ya ray c,zay b, sister p unamleta rihana awe nao level moja
 
What is the format of this so called "debate" and who is moderating it? Would it be in English or Kiswahili?
 
Ni chama ch CEO's Tanzania. CEO roundtable

huyo bwana anaitwa ali mufuruki na sio mafuruki...kuna ka tofauti kadogo na ndio hoja ya huyo bwana aliyeuliza who is mafuruki
 
Kwa Lowasa kukataa kushiriki mdahalo kujadili mambo ya kiuchumi nayo ni MAAMUZI MAGUMU

Kifikra yuko sawa kabisa ila tukiwa wepesi wa kuvutwa na hisia basi utaona amekosea.

Uchumi unakuwa kwenye ilani ya CCM sasa yeye CEOrt/Ali Mufuruki wanaijua sera ya uchumi wa CCM ya mwaka 2015/20?

Huyo mzee kakurupuka tu.

Mdahalo ungekuwa mzuri kwa taasisi kama yao wangesubiri kwanza vyama vyote vitoe ilani zao za uchaguzi.

Waangalie ilani ipi ina sera zenye maslahi yanawiana na mitazamo yao halafu ndiyi wawaite wagombea wa vyama husika waweke huo mdahalo.
 
Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya kiuchumi ya taifa na sio personal attack, Mzee kakataa.

My take; Lowassa anaonesha hana nguvu wala confidence ya kupambana na wapinzani wake. Hali hii ni CCM kwa CCM, akiwekwa na Dr. Slaa si atakimbia mji?

attachment.php


attachment.php
Mgombea yeyote ambaye hataki kuhudhuria midahalo ya wazi,hatapata kura yangu kamwe,
 
Mzee EL hana haja na midahalo yenu, yeye nguvu yake ni wananchi ambao wameamua liwalo na liwe changuo lao ni EL Midahalo yenyewe inaendeshwa kwa Kiingereza, hivyo haitawasaidia wasemaje kwa vile wapiga kura walio wengi hawaelewi lugha hiyo
kama amekimbia mdahalo hatapata kura yangu,
 
kusimama mbele ya hadhara kujibu maswali magumu ni kazi ngumu kuliko kutoa maamuzi magumu, maana yale unatoa tu bila kuchekecha akili.
kusaka wadhamini anatakiwa kila aliyechukua fomu ndani ya ccm au atakayepitishwa na chama?
Kila anaye gombea atatakiwa kutafuta wadhamini,na baadhi watakwamia ktk hata hii. Sasa najiuliza hao wenye kutaka kuwepo ktk Mdahalo watapataje muda? Mimi ni maoni yangu taasisi hiyo ijikite ktk hatua ya mwisho ya vyama vya siasa kugombea urais.
 
Mgombea yeyote ambaye hataki kuhudhuria midahalo ya wazi,hatapata kura yangu kamwe,

Mkuu unakuwa kama hujui mfumo wa siasa za CCM. Hata likipitishwa jiwe wanaCCM watalichagua tu sababu wao hawachagui mtu wanachagua chama.Kuna wanaCCM mamilioni nchi hii lakini waliopewa dhamana ya kupitisha wagombea watano 5 wa mwanzo hawazidi 35,

Halafu wanajifungia tena Dodoma huko wanapatisha jina moja sasa wewe na mimi tukiona huo mdahalo italeta tofauti gani?

Wenyewe wanaCCM wanakiri chama chao kina rushwa sasa mimi na wewe tukiona hiyo inasaidia nini?

Tutangulizeni fikra mbele na tuache wepesi wa shurti za hisia.
 
Hahaha ndukiiii...kwani kwenye midahalo wanaandikiwaga hotuba..na ina kauli mbiu?
 
Yule mzeee afya mbovu alafu jeuri nyie mpeni nchi muone ana kibri cha kuzaliwa jamani enyi watanzania msio jua kusoma hats kuangalia tu hamuoni she mwwnyezi mungu shuka uinusuru Tanzania mpaka sasa sijaona upinzani nako mkimsimamisha slaaa tumekwisha
 
anaogopa ataombwa chenji za richmond.ila ashajua kuwa wana ccm hawatampitisha so anaona bora abaki tu nyumbani siku hiyo asije kuaibika bure
 
Back
Top Bottom