Mangi Muitori
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 653
- 422
Hivi unataka makosa tuliyofanya kwa JK tuarudie tena? Are you out of your mind kiongozi? Au unadhani zama za JK na sasa ni sawa?
Wewe unataka watendaji au washinda debate
Hivi unataka makosa tuliyofanya kwa JK tuarudie tena? Are you out of your mind kiongozi? Au unadhani zama za JK na sasa ni sawa?
Mzee EL hana haja na midahalo yenu, yeye nguvu yake ni wananchi ambao wameamua liwalo na liwe changuo lao ni EL Midahalo yenyewe inaendeshwa kwa Kiingereza, hivyo haitawasaidia wasemaje kwa vile wapiga kura walio wengi hawaelewi lugha hiyo
Wewe unataka watendaji au washinda debate
Hilo swali muda wake wa kujibiwa bado...manake kampeni ya kitaifa bado...pia kwa na mantiki njema ya kujielimisha nenda kasome misingi mikuu ya uanachma wa CCM.CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, Makongoro anaenda kuwahakikishia nini wafanyabiashara?
Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya kiuchumi ya taifa na sio personal attack, Mzee kakataa.
My take; Lowassa anaonesha hana nguvu wala confidence ya kupambana na wapinzani wake. Hali hii ni CCM kwa CCM, akiwekwa na Dr. Slaa si atakimbia mji?
![]()
![]()
Kikwete aliwai kushiriki mdahalo Upi ???
Inasemekana anajiandaa kuununua mdahalo ili ufutwe usifanyike
Huyo mtendaji unamtathmini vipi kama hajakupa evidence angalau verbally jinsi atavyotenda, au wewe mi sheikh yahya ushakuwa?
Huyo mtendaji unamtathmini vipi kama hajakupa evidence angalau verbally jinsi atavyotenda, au wewe mi sheikh yahya ushakuwa?
Wewe unataka watendaji au washinda debate
Kwahiyo uko tayari turudie makosa?
Interesting!!!