Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

Osha

Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
33
Reaction score
20
Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya kiuchumi ya taifa na sio personal attack, Mzee kakataa.

My take; Lowassa anaonesha hana nguvu wala confidence ya kupambana na wapinzani wake. Hali hii ni CCM kwa CCM, akiwekwa na Dr. Slaa si atakimbia mji?

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • mafuruki.png
    mafuruki.png
    40.8 KB · Views: 15,750
  • mafuruki2.png
    mafuruki2.png
    84.1 KB · Views: 15,803
Najaribu kupost screenshot ya Maelezo ya muandaaji, ili kuuaminisha umma kilichoelezwa ila inanishinda.
 
Da watu wengine wachokozi kweli kweli yani wanajua kabisa ..kuna wengine sie tuna allergy na podium kisha mna tuletea hapa..tupa kule ila bila kusahau Mtia nia ninae mkubali sana Bwana Charles Makongoro Nyerere alipofikishiwa Mwaliko huo bila kusita na hakika ALITAMKA NAAM NITASHIRIKI...
 
Sasa kama mdahalo hauwezi, ataweza kuiongoza nchi? Terrible!
 
Huo mjadala hauna maana ndo maana ameamua asiende
 
Sioni umuhimu wa kuandaa mdahalo wakati ndio kwanza watu wanaanza kuchukua form. Wangesubiri hadi idadi kamili imejulikana ndo wafane hiyo kitu wote wawekwe kwenye podium kwa pamoja. Tukifuata hiyo system aliyoisema Ali Mufuruki kuwa wiki ijayo waanze watano alafu wiki nyingine waongezeke kuna watakaopiga chabo.
 
Hapa ndo nakumbuku kipindi kile MRS.CLINTON na OBAMA kwenye debate ilikuw moto. Lowassa anaumw muacheni arudishe afya,asije pata wakati mgumu
 
Hapa ndo nakumbuku kipindi kile MRS.CLINTON na OBAMA kwenye debate ilikuw moto. Lowassa anaumw muacheni arudishe afya,asije pata wakati mgumu

Hapa sio Marekani na mdahalo kwa sasa hautasaidia kura za wajumbe wa NEC
 
Back
Top Bottom