ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,768
- 127,907
Well said kiongozi, Tanzania bado ina wajinga wengi...na huyu analidhihirisha hilo..!You're such a dumb dude I never heard before! Mdahalo ni njia mojawapo ya kufikia wapiga kura wengi bure bila kulipia muda ktk television, kwa kunadi sera na kujitofautisha na wagombea wengine. Wewe kwa akili yako finyu unaona sio level yake? What level is Lowasa? Make watanzania hatuchaguI KINGS bali Raisi. We need someone like us not above us! Nakushauri kufikiria kwanza kabla ya kuweka utumbo hapa!