Midahalo ndo inaanza,wote watashiriki tu.Subira ni muhimu, hauwezi kuıtisha mdahala kwa mambo nyeti then ukawa na waongeaji 15.Wote watashiriki na baada ya kupitishwa watafanya tena.Mbona hii midahalo imekuwa inafanyika hata kabla?Hata zıle dk 45 za Buhohela ni mdaharo na wengi wameshiriki,SUMAYE,SITA,MEMBE,NYARANDU,MAKAMBA,LOWASA n.k.Tusıwe na kiwewe, yetu macho.
Hapa sio Marekani na mdahalo kwa sasa hautasaidia kura za wajumbe wa NEC
Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya kiuchumi ya taifa na sio personal attack, Mzee kakataa.
My take; Lowassa anaonesha hana nguvu wala confidence ya kupambana na wapinzani wake. Hali hii ni CCM kwa CCM, akiwekwa na Dr. Slaa si atakimbia mji?
![]()
![]()
Muacheni Lowassa wa watu msije mkamuua bure,hana shida na mdahalo,shida yake ni kupata urais.
Lowassa is in the highest level of IQ and popularity
Huo mdahalo waliomwalika its quiet very low quality for his status ni sawa na mkufunzi wa chuo kikuu kushiriki katika mdahalo na nursery school kids its quiet a comedy.
Let the King do other important things for now.
Ali Mafuruki ujanja ujanja na lobbying na watu wa TPS ndio uliomtoa hana weledi wa kuandaa midahalo anatafuta nafasi tu la kuja ku-lobby serikali ijayo,kifupi ni mchumia tumbo (Opportunist).
Kiongozi, nenda kwenye kamusi yako ya kiswahili na uangalie maneno haya mawili: MDAHALO na MAHOJIANO!Midahalo ndo inaanza,wote watashiriki tu.Subira ni muhimu, hauwezi kuıtisha mdahala kwa mambo nyeti then ukawa na waongeaji 15.Wote watashiriki na baada ya kupitishwa watafanya tena.Mbona hii midahalo imekuwa inafanyika hata kabla?Hata zıle dk 45 za Buhohela ni mdaharo na wengi wameshiriki,SUMAYE,SITA,MEMBE,NYARANDU,MAKAMBA,LOWASA n.k.Tusıwe na kiwewe, yetu macho.
Lowassa is in the highest level of IQ and popularity
Huo mdahalo waliomwalika its quiet very low quality for his status ni sawa na mkufunzi wa chuo kikuu kushiriki katika mdahalo na nursery school kids its quiet a comedy.
Let the King do other important things for now.
Nakubaliana na wewe kuwa raisi kutoka CCM anaenda kutimiza sera na ilani ya chama kwa miaka hiyo mitano....!
Osha na wadau wote wa siasa hawa walioitwa wanaenda kuongea nini?
Ninavyojua mimi raisi kutoka CCM anakwenda kutekeleza sera za CCM ambazo mpaka sasa bado hazijapitishwa rasmi.
Kwa maana hiyo hawa wanakwenda kuongea porojo tu maana CCM haichukui sera binafsi za mgombea na kuziweka kwenye sera ya chama au siyo?
Mwisho watakachoongea pale hakina manufaa kwa taifa hili yatakuwa mawazo yao binafsi na nahisi ndiyo maana Lowassa kakataa sababu anajua hilo.
Kwa mfano; huwezi kuzungumzia ujenzi wa shule au kupanua masoko ya nje wakati kipaumbele kwenye sera ya CCM ya mwaka 2015/20 ni kuimarisha ulinzi na usalama au kilimo kwanza.
Kwa wale wanaCCM kama nitakuwa nimekosea naomba muongozo
Ni maoni huru