Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

Lowasa mjanja sana amuwezi kumpata kihivyo labda mfanye hivi mkishapata wangapi wamechukuwa fomu kwamba atochukuwa mwingine zidi yahao basi hapo ndio muwazinshe huo ujinga
 
Kwa ninkg msifanye mdahalo wa watangaza nia wote ili watanzania tupate nafasi ya kuchagua,nyie mna select,lengo lenu mumpate ma mvi ,lakini mnawadhalilisha wagombea wengine
 
Maajabu ya dunia 2015 ccm wanajiwekea midahalo
2010 walimkimbia Dr slaa tbc mtu alitimuliwa kazi kwa kuandaa midahalo ya wabunge wa ccm na upinzani
Kweli kifo cha nyani sasa wakimaliza vita na EL wao waje kwenye midahalo na Ukawa waone
Ni ngumi za uso tu hamna huruma tena nchi ya ukawa hii
 
Lowassa ni muoga sana sema pesa ndio inampa comfo otherwise jamaa hafai uongozi hana hoja na hawezi kujenga hoja ikaeleweka.
 
Mara ya kwanza kabisa mdahalo ulitunusuru na mzee wa kilalacha, ukamtambulisha Mzee Nkapa. Usingelikuwa huo mdahalo tusingelimjua Nkapa!
Mara ya pili kama masihara vile tukaupuuza na matokeo yake tukauziwa sungura kwenye gunia tukidhania ni mbuzi, katika hili Mzee Makamba atakumbukwa sana kwa kuzuia hata midahalo ya wabunge!
Safari hii tumeshaelewa, mnadani kila kitu kiwekwe mezani na sio ndani ya gunia. Ikulu safari hii haiingiliki kijanja kijanja. Bye bye EL ...signs of victory are turning to signs of failure!
 
Da watu wengine wachokozi kweli kweli yani wanajua kabisa ..kuna wengine sie tuna allergy na podium kisha mna tuletea hapa..tupa kule ila bila kusahau Mtia nia ninae mkubali sana Bwana Charles Makongoro Nyerere alipofikishiwa Mwaliko huo bila kusita na hakika ALITAMKA NAAM NITASHIRIKI...

CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, Makongoro anaenda kuwahakikishia nini wafanyabiashara?
 
Ali Mafuruki ujanja ujanja na lobbying na watu wa TPS ndio uliomtoa hana weledi wa kuandaa midahalo anatafuta nafasi tu la kuja ku-lobby serikali ijayo,kifupi ni mchumia tumbo (Opportunist).
Hapa una hoja ya msingi mkuu King Kong III. Tatizo ni kuwa hakuna aliyejitokeza hadi sasa kuandaa mdahalo, we fikiria tangia ratiba za uchaguzi zitangazwe si umoja wa wanahabari, taasisi za elimu wala nani wametoa ratiba ya midahalo. Kwa hiyo huyu kajitokeza basi na wengine amkeni lakini tuepuke midahalo dizaini ya REDET

 
ABOUT THE CEO ROUNDTABLE OF TANZANIA

The CEO Roundtable of Tanzania (CEOrt) was founded in 2000 by a small group of CEOs. The main objective was to create a forum through which industry leaders within the Tanzanian private sector could constructively engage with government, its development partners and other stakeholders with a view to creating a more conducive environment for business to prosper and for the country to develop.

The founders recognized that as much as there was intent on the part of the government to allow the private sector to lead the economic development process, continuing lack of political will would prove detrimental to the private sector’s active participation in the economic development of the country.

As a way of exercising positive influence on government policy, leadership within the CEO Roundtable took the initiative to organize dialogue meetings with a view to identifying the key obstacles to economic growth and developing solutions to the problems. These solutions and propositions would thereafter be discussed with the government in the spirit of public private partnership.

This approach initiated by the CEOrt leaders resulted in rapid growth of the policy forum’s activities and increased visibility within the government. At this time, the Directors recognized the need for formalizing the policy dialogue forum thus the CEO Roundtable was formally registered under Tanzanian law as a not-for-profit limited by guarantee and without share capital on 21st February 2008
 
Back
Top Bottom