KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Kwanza nianze kwa kusema kusema Lowassa sio kweli kwamba hawezi kuzuia mafuriko yake kwa mkono,ukitizama watu waliomsindikiza kuchukua fomu utagundua lowassa anao uwezo wa kuyatengeneza na pia kuyazuia mafuriko yake kwa mkono kama alivyoyazuia leo akichukua fomu.
Tuyaache hayo ya lowassa na mafuriko yake ya kutengeneza.
Naomba kuwauliza wapambe wa lowassa,mnazijua sababu za lowassa kuukacha mdahalo kuhusu uchumi uliondaliwa kwa watangaza nia wote? Nasikia sitta,membe,January na hata sumae wamethibitisha kushiriki mdahalo huo ulioandaliwa na kina Ali mfuruki.Lowassa anaogopa nini kutuambia mipango yake ya uchumi na kutupa nafasi ya kumpima kwa maswali mazuri yatakayompa nafasi ya kujifaragua kinagaubaga kwenye eneo Hilo la kiuchumi.Tunahitaji ufafanuzi zaidi kutoka kambi ya lowassa naona mmekua kimya kwenye hili la mdahalo