M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,038
Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya kiuchumi ya taifa na sio personal attack, Mzee kakataa.
My take; Lowassa anaonesha hana nguvu wala confidence ya kupambana na wapinzani wake. Hali hii ni CCM kwa CCM, akiwekwa na Dr. Slaa si atakimbia mji?
![]()
![]()
....lakini tukumbuke sisi Mitanzania ndivyo tulivyo. mwaka 2010 kuna mtu hakushiriki mdahalo na bado aakachaguliwa kuwa rais. hadi amepewa na u-professor (mweh!).
si ajabu hata huyu Mitanzania ile ile ikampeleka Magogoni. hadi u-professor atapewa na Wachina (sic)... chezea bongolala wewe!!