Chungurumbira
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,170
- 571
edward ana haki.kabsa labda nongemuuliza ali uchumi upi anaongelea..uchumi alioshiriki kuiua atcl na saa wao
uchumi upi uchumi wa.kutaka kuturudishia.ndege mbovu.zilizorudishwa s.africa wakazipeleka ireland.kabla ya watu kudaka same reg ya hizo ndege alizodai.zinatoka ireland ndio zile zolizorudi.anataka tumwekee mkataba hapa...na ndicho kilichoiiua atcl kama siyonay3 yeye tugende edward
Ungeweka sawa haya maandiko yako ili tukuelewe!!