Hahha CCM mna vituko hadi basiLowassa hawezi kushiriki kwenye mdahalo wowote. Hana hoja.
Akishindwa kujieleza anaishia kupanick na kupandwa jazba.Hivi mnajua lowassa kuongea na kueleweka hawezi
pale msemo wa usiponiheshimu mimi utaheshimu pesa zangu unachukua nafasi yake
Wewe vipi umekula kunde za wapi? Lowassa hahitaji kusema yanaonekana
Lowassa hawezi kushiriki kwenye mdahalo wowote. Hana hoja.
Mbinu hizi zilizaa matunda mwaka 2005, miaka 10 baadae kuna gap kubwa sana kati ya uelewa wa Mtanzania wa 2005 na wa sasa, mfano wakati ule 99% hawakujua hata jf ni kitu gani leo zaidi ya 70% wako kwenye mitandao.Huo ni mfano mmoja tu ambapo inafika mahali fedha haiwezi kukusaidia.
Unaweza kukusanya watu na kuwalipa ili waonekane wengi kwenye mkutano.
Unaweza kuwalipa watu ili "wakuombe" kugombea
Unaweza kuwanunua baadhi ya wandishi wa habari ili wakupambe
Unaweza kuwahonga wajumbe wa mkutano ili watimize matakwa yako.
Lakini kwenye mdahalo wa akina Mafuruki wenye pesa zao, tena za halali, kuwanunua hakupo!
Itatusaidia sisi wananchi kuwajua vizuri kabla ya kufanya maamuzi,kumbuka tumechelewa hata kuwafahamu sasa debates zitakuwa nzuri kurudishia muda waliokuwa wakijivuta vuta kujitokeza.Ukawa wajitokeze pia ili iwe mwendo wa ma debates tu mwanzo mwisho.Hapa sio Marekani na mdahalo kwa sasa hautasaidia kura za wajumbe wa NEC
Tusimuone lowassa tu unakumbuka wabunge wa ccm walivyo kimbia mdahalo wa mchakato majimboni????Lowassa hawezi kushiriki kwenye mdahalo wowote. Hana hoja.
Kikwete aliwai kushiriki mdahalo Upi ???