Lowassa Afunika Iringa

Lowassa Afunika Iringa

Daah jinsi huyu jamaa anavyopendwa hata akienda chooni watu watamfuata tu,hakuna namna apewe uraisi kwakweli.
 
Kurugenzi ya habari hamko makini kipindi hiki... mnazidiwa hata na updates za ACT wasaliti ... angalieni walivo toa updates vizuri kwenye mkutano wao wa leo... kwa hili makene tumahitaji crew itakayo kuwa inatupa updates on the spot na kwa uhakika kwenye kila mkutano wa raisi mtarajuwa.... nimecheki pia kwenye website ya chadema hamana chochote kuhusu kinacho endelea Iringa.... hii hapana makamanda....
.
 
Iringa haiwezi kuwa na idadi yote ya hao watu
Hapo ni jangwani. Angalia kwa nyuma kabisa utaona. Mafinga iwe na watu wote hao wametoka wapi? Hata kama ni wale anaotembea nao hawafiki hivyo
 
iringa.jpg
 
Mwenyekiti wa wachuma Mchicha Mafisadi CCM akiona hivi atasema picha zemeungwa ... Wananchi tayari wameamua kufanya mabadiliko... CCM na masalia yake hawaaminiki tena ..
 
Back
Top Bottom