MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Acha kufuatilia afya za watu bwana wewe ya kwako unaijua vizuri...Kama wewe upo salama na afya yako Mshukuru M/Mungu maana kesho yake huijui..hata hivyo Lowasa ni chaguo letu mabadiliko kupitia yeye.