Lowassa Afunika Iringa

Lowassa Afunika Iringa

nimestaajabu nilipoiona picha ya leo iringa mjini, lowasa anaongea lakini kashikiria 'mimbali' kwa nguvu sana na mikono miwili. ni kama amejiegemeza kwayo.
Mkuu tatizo letu si afya wala uwezo wa kusimama jukwaani kwa muda mrefu,tatizo letu ni ccm basi.
 
kama ndio mfanyabiashara ambayo yupo akilini mwangu basi msigwa kagonga mwamba jamaa namfahmu viziri sana ana nguvu kubwa sana Iringa isitoshe pia amesaidia sana jamii ya wana iringa bila kujali itikadi za chama . Pia huyu bwana ana nguvu sana CCM at my point of view msigwa harudi tena jimbo la iringa.

Acha kudanganya watu wewe Ana nguvu gani na kasaidia watu gani? Tuachie iringa yetu ushawahi sikia wapi mwarabu anasaidia watu , huyo anaefanya rafu hizo ni Salim asas mtoto wa asas
 
Only 5 minutes.. Muda mwingi wameongea Sumaye, Mungai na Msigwa.

Watanzania mmezoeshwa ngonjera kiasi msiposikia mtu anabwabwaja mnaumwa. Dkk 60 aongee kitu gani na wakati tumeshawaambia kuwa tutamchagua tu hata asingeongea sekunde 60.

Miaka na miaka wagombea wenu wanaongeaweeeeee, wakiingia madarakani wanabaki kulalamika badala ya kutenda. Safari hii tunachagua ambaye haongei. Mimi ningekuwa ndio yeye, jukwaani ningekuwa na maneno machache sana......Babu Seyaaaaaaaaa! Wananchi wakiitikia 'afunguliweeeeee' mkutano umeisha.
 
samuel faraj basi kama hana nguvu mchokoze uone chamtema kuni. Alafu inaonekana hujawahi kula hela yake ndio maaana ime ku pain. Uliza mtu yeyote habari ya Salim Asas utapata.huyu jamaa ni mkombozi wa wana Iringa . Ila kwa punguani kama wewe hata baiskeli huna sikulaumu. Inaonekana una wivu sana. Hebu mwache kamanda wetu yule moto wa kuotea mbali
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa zangu niliwaambia Tanzania mabadiliko hayazuiliki, watu wamechoka, hata ukiwatazama Watanzania usoni unajua kabisa kuna shida mahali.....na shida ni CCM, mwaka huu hata baba wa Taifa angekuwapo na kuipigia kampeni CCM lazima watanzania wangemuambia Mwalimu tunakuheshimu sana, lakini kwa hili wacha tuchague upande huu........Nchi inanuka rushwa, sasa madawa ya kulevya na meno ya tembo, eti bado mtu anataka tuichague CCM.

Nina mashaka hata yeye angempigia kura Lowassa.
 
Hajui km jamaa anaweza kumpeleka mahakamani na akalipwa fidia ya kutosha mnoo. Ningekuwa karibu ningempa maujanja, nashauri jamaa atafute mwanasheria mzuri najua mch hatarudia tena kuropoka asilojua. ..lets wait loading....
Umeambiwa kuwa hakumtaja jina mfanyibiashara huyo.

Sasa unaposema mfanyibiashara huyo amburuze mahakamani, atawezaje kumburuza nahakamani wakati hajatajwa jina?

Lakini kadri ninavyoifahamu Iringa, mfanyibiashara huyo gamba atakuwa si mwingine bali yule jamaa anayetengeneza na kusambaza maziwa ya pakiti ambaye pia ni baba mkwe wa mkulu.
 
Wewe mzima wa afya??
Kuongea sana sio kwamba ndio utaeleweka sana mbele ya wapiga kura otherwise maneno yatakuishia utaanza kutukana na kukanusha uliyoyasema mwanzo.
 
Mch Msigwa Mungu hapendi namna hiyo hii ni siasa tu sio kufitinisha watu.
 
Na picha zenyewe zinaonekana ni kutoka viwanja tofauti. Mwaka huu tutalishwa propaganda na hivi vyama vya siasa mpaka tutajuta kuzaliwa.

hata ---- mwenzio alisema hayo Leo anaumbuka
 
Hotuba ndefu ya Kinana Mwanza imeua CCM . Hotuba ndefu ya mh Jakaya Kikwete madhimisho ya CCM sONGEA IMUA CHAMA. hOTUBA NDEFU ZA JK MKUTANO MKUU CCM doDOMA UMEUA CHAMA
 
Lowassa, tafadhali baba, ccm wanapata homa kali. Itabidi peoplezzz tupungue kuhudhuria mikutano maana wazee wa kijani wanaumwa kabisa
Hahahahahahaha acha waumwe tuu maana tumechoka hakuna namna nyingine
 
Msiwe mnakurupuka kujudge huyo mfanyabiashara kashapokea tuzo nyingi za mlipaji kodi bora...
Watanzania ndo maana hatuendelei badala ya kujitafutilia maendeleo wemyewe tumekaa tunatafutiana chuki kwny biashara
sasa huyo mfanyabiashara utamtofautishaje na ccm, kwani anasidia chama sana. na ndio maana ameambiwa hivyo.
 
Haina ubishi kuwa mpaka muda huu Lowassa ndio talk of the town. CCM wana week tangu waanze kampeni. Ila jamaa kazindua Jana kampeni lakini amefunika ile wiki yote ya kampeni za Magufuli na anaenda kuzifuta kabisa nyayo za Magufuli kila atakapopita. Tanzania yote na magazeti yote ni Lowasa. Na kama haitoshi majukwaa ya CCM na ACT Leo na wao walizidiwa ilibidi wageuke wachambuzi wa hotuba za Jana za Lowasa na Sumaye na wakasahau kabisa kuwa wapo kwenye kampeni kunadi ilani zao. CCM walizindua kampeni kwa utitiri wa uwepo viongozi maarufu na waandamizi wa serikali kama Mkapa, Mwinyi, Warioba, Kikwete ukijumlisha na Fiesta lakini hawajafikia hata nusu ya mafuriko ya Lowasa akiwa tu na Mbowe na Sumaye pale Jangwani... CCM ilani yao mwaka huu ni Lowassa. Hawana Ilani nyingine jukwaani pamoja na wadogo zao ACT. Hakika mpaka sasa Lowassa ni Man Of The Match
 
Sio tu imechina, Lowassa muda wa dakika alizoongea kashikilia kimeza, kile kimeza kikichoka kikaanguka, nayeye chali

Afya mgogoro hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kistuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Studio hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tovuti hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mahaba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nawashukuru sana
Asante mkuu kumbe unafuatitilia kila analofanya enhee muda huu anakunywa vidonge gani tujuze basi
 
Back
Top Bottom