Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Aliongea akiwa kwenye kiti dak5, enhee unasemaje sasa? Ccm muache upumbafu km wa Mchange
Mch Msigwa Mungu hapendi namna hiyo hii ni siasa tu sio kufitinisha watu.
Wewe usitake kunifananisha. Hebu angalia picha hizo juu bila ushabiki wa kitoto. Acheni kutufanya wapiga kura mazoba. Sio wote ni waumini wa vyama vya siasa. Umenisikia?hata ---- mwenzio alisema hayo Leo anaumbuka
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Only 5 minutes.. Muda mwingi wameongea Sumaye, Mungai na Msigwa.
"Dakika moja!" Alisalimia tu kisha akakaa! Ila tutampa kura zetu, na tutahakikisha kuwa ndiye Rais wetu ajaye!
Umefurahi?
Mkuu upo serious kweli?
Watu wamelalamikia sana kuhusu hii kurugenzi ya habari Labda pengine nao wako likizo maana huwezi jua.Kurugenzi ya habari hamko makini kipindi hiki... mnazidiwa hata na updates za ACT wasaliti ... angalieni walivo toa updates vizuri kwenye mkutano wao wa leo... kwa hili makene tumahitaji crew itakayo kuwa inatupa updates on the spot na kwa uhakika kwenye kila mkutano wa raisi mtarajuwa.... nimecheki pia kwenye website ya chadema hamana chochote kuhusu kinacho endelea Iringa.... hii hapana makamanda....
.
jamaa ameuliza hao wenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi wameifikisha wapi Tz?