Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,783
muogope mola wako , katika orodha ya wanasiasa waliodondoka jukwaani lowasa yumo ?nimestaajabu nilipoiona picha ya leo iringa mjini, lowasa anaongea lakini kashikiria 'mimbali' kwa nguvu sana na mikono miwili. ni kama amejiegemeza kwayo.