Lowassa Afunika Iringa

Lowassa Afunika Iringa

Bahat mbya wanafurika lkn hawapati wanachokitaka, wanaishia kuambiwa hbr za babu seya na mengne yasiyo na faida na shida zetu za msingi watz
 
Lowassa anatuletea porojo za babu Sea na Masheik wa muamsho. Hivi kweli hiyo ni hoja kwa watu maskini??? Pumbavu kabisa, hatutaki rais ZEZETA kama Lowassa. #HapaKaziTu MAGUFULI ndio rais.

Nilijua akili yako kumbe jina lako lina sadifu 'son of gamba' sheria inasemaje ata km ni rais taratib na sheria zitazingatiwa amka mtz ww
 
hivi si alisemaga mkipiga kura muondoke ,kazi ya kulinda ni yake ,leo anasema mlinde kura zake zisiibiwe....!
 
Sunday, August 30, 2015

Lowassa AFUNIKA Iringa.....Maelfu Wahudhuria Mkutano wake, Awataka Wafuasi wake Wazilinde Kura Zisiibiwe

Mpekuzi blog

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao kupata faida yoyote.



Lowassa alisema punde atakapochaguliwa kuongaza nchi kitu kikubwa atakachokifanya kuwasaidia wakulima ni kufuta ushuru wote wa mazao kuhakikisha wakulima wananufaika na jasho wanalolitoa wakati wa kilimo.


Lowasa ameyasema hayo leo wilayani Mufindi alipofanya mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Wambi, mjini Mafinga.


Lowassa alisema watu wamekuwa wakizungumza kuwa CCM ni wezi wa kura kwasababu ni wajanja sana katika kufanya michezo michafu katika chaguzi na maneno hayo si yakuyabeza wala kuyafumbia macho.


“Mimi nataka kila mtu akihifazi vizuri kichinjio chake (kadi ya kupigia kura) na siku ya kupiga kura ikifika nawaomba wanawake na wanaume wajitokeze kwenda kupiga kura ila wakina baba nawaomba mkishapiga kura fanyeni kazi ya kuzilinda kura zenu” alisema Lowassa


Katika mkutano huo, waziri wa zamani wa Elimu, Joseph Mungai alipanda jukwaani na kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chadema, William Mungai ambaye ni mtoto wake.


Mungai aliwahi kuwa mbunge kwa miaka 35 kupitia CCM na aliweza kuteuliwa nafasi mbalimbali za uwaziri ikiwamo Wizara ya Kilimo, Mambo ya Ndani na Wizara ya Elimu.


Mungai alisema wananchi wa jimbo hilo wanatakiwa kumchagua William Mungai kwa sababu mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo hilo hakuweza kuongoza kama alivyofanya yeye.

Source: Lowassa AFUNIKA Iringa.....Maelfu Wahudhuria Mkutano wake, Awataka Wafuasi wake Wazilinde Kura Zisiibiwe | MPEKUZI

Hiyo picha sio ya Iringa, hapo ni Jangwani.
 
Watanzania mmezoeshwa ngonjera kiasi msiposikia mtu anabwabwaja mnaumwa. Dkk 60 aongee kitu gani na wakati tumeshawaambia kuwa tutamchagua tu hata asingeongea sekunde 60.

Miaka na miaka wagombea wenu wanaongeaweeeeee, wakiingia madarakani wanabaki kulalamika badala ya kutenda. Safari hii tunachagua ambaye haongei. Mimi ningekuwa ndio yeye, jukwaani ningekuwa na maneno machache sana......Babu Seyaaaaaaaaa! Wananchi wakiitikia 'afunguliweeeeee' mkutano umeisha.

Hata mimi nashangaa! Kiongozi anstakiwa asikilize na sio kuongea. Wananchi ndio waongee. Porojo nyingi ni usanii tu.
 
Kama kuongea sana ndio sifa ya kuwa rais wa tz basi MPOKI angekuwa rais..
 
27 Ndiyo kusema, Mungu aliyachagua yale
ambayo ulimwengu huyaona ni upumbavu,
ili awaaibishe wenye hekima; na
aliyachagua yale ambayo ulimwengu
huyaona ni dhaifu, ili awaaibishe wenye
nguvu.
Soma 1 Wakorintho 1:27

Mimi mmoja wa wapumbavu tena Lofa na kura yangu ataipata Lowasa dhaifu awaaibishe Hao wenye nguvu

Paulo ni miongoni mwa Wapumbavu na masomo yake ni ya kipumbavu.
Hakuna udhaifu uliowahi kushinda Duniani
 
Magufuri anaahidi mambo mengi ambayo hata mtoto mdogo alie darasa la kwanza akisikia ataangua kicheko,siasa za ahadi hewa na kuhadaa wananchi zmepitwa na wakati,watanzania wa leo sio wa enzi zile za zidumu fikra za mwenyekiti....!!

Lowassa kawaahidi wapumbavu 'mahaba'
 
samuel faraj basi kama hana nguvu mchokoze uone chamtema kuni. Alafu inaonekana hujawahi kula hela yake ndio maaana ime ku pain. Uliza mtu yeyote habari ya Salim Asas utapata.huyu jamaa ni mkombozi wa wana Iringa . Ila kwa punguani kama wewe hata baiskeli huna sikulaumu. Inaonekana una wivu sana. Hebu mwache kamanda wetu yule moto wa kuotea mbali

Any way siwezi kukulaumu wewe punguani tatizo mfumo, na ka ID kako ka juzi unakuja kusumbua watu huku. Unachotakiwa kujua kwamba sio wote wanaishi kwa msaada wa waarabu , kama wew na familia yako unaishi ivyo am sory for you am not your level dada yangu
 
Bahat mbya wanafurika lkn hawapati wanachokitaka, wanaishia kuambiwa hbr za babu seya na mengne yasiyo na faida na shida zetu za msingi watz

Tunazijua shida zetu hatutaki mtu aje atwambie tena, tunataka mtu wa kutwambia "...Tuitoe CCM madarakani na tuweke Katiba ya wananchi..! Hatutaki maneno mengi kwani tulisha yashiba miaka 54 yatosha.
 
Back
Top Bottom