Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
sasa si ndio tunajifunza mzee?? kwani wewe unadhani likelihood ya jamaa kuuwawa according to mtoto wake ni kama percent ngapi?
.....................99%..................................
sasa si ndio tunajifunza mzee?? kwani wewe unadhani likelihood ya jamaa kuuwawa according to mtoto wake ni kama percent ngapi?
mh damu ya mtu mkuusi auwawe! Wangapi wenye haki wameuwawa sembuse yeye!
Gazeti lililotoa habari hiyo ni Dira ya mtanzania.
Habari hizo si za kuupuuzia kwani lolote linaweza kutokea, na haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kukumbuka au kuzingatia:
1. Mtoto wa Lowassa ni mtu muhimu sana katika harakati nzima za maisha binafsi & kisiasa ya Lowassa, Hicho alichokisema ndio kauli isiyo rasmi ya Lowasa. Hivyo kuna haja ya vyombo husika kumhoji au kufuatilia zaidi.
2. Ni ukweli usiofichika kuwa usalama wa taifa pia imehusika na matukio ya kutengeneza ya vifo vya viongozi mbalimbali hasa kama viongozi hao wanasiri ambazo wanaweza kuzitoa na kuhatarisha usalama wa taifa (mtu yoyote aliyewahi kufanyakazi na idara hii atakwambia hili)
3. Kwa Lowassa hili linaweza kutokea saa yoyote, kwani alichokiongea ndani ya CC ni kitu kikubwa sana,na kama atatakiwa kuutoa ushahidi kisheria,maana yake nchi lazima itayumba,kwani mkuu hatapona.
4. Viongozi ndani ya CCM hawaaminiani kabisa kila mtu anamtafuta mwenzie ammalize kabisa (Hili JK aliwahi kulisema pia ndani ya vikao vya chama)
Mkuu mafioso game anybody can be a target...aisee..... sasa mbona kuna watu wanasema yeye ndio anataka kuua wenzake?? au ndio political games?
Mkuu para ya Mwisho ina Maoni yako ambayo si sahihi, yanathibitisha kuwa hujui hata Mfumo wa Uchaguzi wa CCM acheni kubuni Tuhuma zisizo na Msingi mnaweza kuhatarisha Maisha ya Watu wasio na Hatia.
Threads nyingi hapa zipo za Lowasa..Lowasa... Ukizisoma hazina cha maana.
Ninachokiona ni strategies za watu wake maalum ambao wamewekwa kuhakikisha anakuwa kwenye ''Head lines'' muda wote.
Biashara matangazo...
Mbona unazungumza kama na wewe ni TISS?SIONI HAJA WALA ULAZIMA WA KUMUUA EL
Ikiuma sema....mtu km wewe kule kijijini kwetu tunamwita ZERO.kwa tafsiri nyingine ni sawa na mtu kujifunzia gari kariakoo af anaeka gia namba 3.kwa ujumla JF HATUPIMIKI
mushi yamekua hayo tena swahiba? Mbona ikija issue ya el tunapoteza kabisa wisdom?Mbona unazungumza kama na wewe ni TISS?
hajaripoti... Naugomvi y bar yamenaswa na magazeti pendwaLowassa analindwa na vyombo vya dola kwa nini karipoti magazetini na si kwenye vyombo vinavyomlinda? kuna namna hapa?
Kama hukumbuki tarehe tutathibitisha vipi kwamba umeitoa kwenye gazeti hilo? Taarifa za baa kilevi kwa sana mmmmh.Nimeon hii habari kwenye gazeti la Dira sikumbuki tarehe ...