Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

Good news! More details will make it more meaningful!!Pls someone upload the magazines etc!!
 
alot of kujichanganya apa mbona mnarukia yale (majamaa machakachuaji ya kura tunazopiga) mashushushu ya pale makumbusho kwa nyuma (uwt) why not... Umoja wa wanawake tanzania, umoja wa walimu tanzania au usalama wa taifa, ebu weka vizuri tutoe pwenti zetu

yani wewe sasa ndio umejichanganya kabisa... sijui ulikula nini kwa krismas

just put your act together buddy
 
thanks pasco, kwa weledi na upeo wako, we unadhani likelihood ya hilo kutokea yaweza kwenda percentage gani?
Likelihood ya nini au mnafanya research mjue itakuwa vipi...mnatujazia maswali mengi zaidi ya majibu kwanza thread yenyewe haina source.
 
Lowasa anatafuta pa kufia,,nani amuue mtu ambaye hana mvuto tena miongoni mwa wananchi? Anamvuto kupitia vyombo vya habari kwa kuwanunua waandishi tu nje ya media hana mvuto kwa watu akafie monduli tu
 
Changa la macho kwa watanzania
na hapo pana kiini macho
unanukia umwagikaji damu wa kimafia
 
ni kutafuta umaarufu tu mtoto wa lowassa ndiye mwenye siri za Idara ya usalama wa Taifa? ni gazeti lipi lina habari hiyo kama si majungu ni nini?
 
hakuna taasisi yoyote hapa nchini inayo deal na kuua watu.wats so special wit lowasa by the way.huu ni uzushi tu pia kuchafua watu pamoja na kutaka kujihami.kwanza thred ynyw ni ya kitapeli mana Haina CHANZo
 
Likelihood ya nini au mnafanya research mjue itakuwa vipi...mnatujazia maswali mengi zaidi ya majibu kwanza thread yenyewe haina source.

sasa si ndio tunajifunza mzee?? kwani wewe unadhani likelihood ya jamaa kuuwawa according to mtoto wake ni kama percent ngapi?
 
kila jambo baya Idara ya usalama wa Taifa kibwagizo hiki tumekichoka.... baba yake Lowassa ana umaarufu gani hivi sasa mpaka watake kumuua au bado ana ndoto za Urais hivyo anaishi kwa hofu
 
Hata mimi nimewastukia eti mtu anauliza percentage ya mwenzake kuuawa dah! hii kali ndio maana nikawauliza kama wanafanya research tuwasaidie wengine tuna ujuzi huo.

jamani eh, msiogope, si ndio tunajifunza mambo hapa JF???

KWA MARA YA KWANZA LEO NAONA MEMBERS WENZANGU HAMNA IMANI KABISA NA MIMI AISEE
View attachment 44110
 
Mtoto wa lowassa ametumwa na baba yake kupima upepo kama bado watanzania wanampenda kaona Usalama wa taifa ndio wa kufa naye
 
Hivi mtoa mada yuko wapi mbona hajibu maswali. Ni gazeti gani limetoa taarifa hizo? Ni Kiu au Uwazi? Atusaidie ni gazeti gani nasi tusome siyo analeta habari nusunusu na kisha anatokomea!
 
ivi lowasa kwa hadhi yake km PM mstaafu/aliejiuzulu si analindwa na serikali?au nakoSea mana huwa nawaona viongozi km mkapa mwinyi na sumaye kama wanalindwa.mwny kujua atusaidie
 
Lowassa kaua wangapi mpaka anadai kuwa na yeye anataka kuuwawa? mzee mchovu acha siasa pumzika watanzania wanakuchukia si lazima wakuue Usalama wa taifa bali watanzania wenyewe
 
jamani eh, msiogope, si ndio tunajifunza mambo hapa JF???

KWA MARA YA KWANZA LEO NAONA MEMBERS WENZANGU HAMNA IMANI KABISA NA MIMI AISEE
Wewe tueleze una nia gani ya kuuliza wenzako percentage ya kifo?
 
ivi lowasa kwa hadhi yake km PM mstaafu/aliejiuzulu si analindwa na serikali?au nakoSea mana huwa nawaona viongozi km mkapa mwinyi na sumaye kama wanalindwa.mwny kujua atusaidie
mkuu lazima alindwe na serikali na kupata huduma zote kama apatavyo Sumaye, SAS, nk
 
Back
Top Bottom