Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,346
Sikatai ila heshima nikitu ya bure mtu ikute kapewa simu achezee akaona leo ni wazime mie naona kuna kitu hakipo sawa .Kumbe kuna siku ukituliza medulla unatoa madini...
Sikatai ila heshima nikitu ya bure mtu ikute kapewa simu achezee akaona leo ni wazime mie naona kuna kitu hakipo sawa .Kumbe kuna siku ukituliza medulla unatoa madini...
I dedicate this to you.Kwani ni interview!!!?Muulizeni mtoa mada pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Afu Maswali wala majibu don't matter to us you know . He knows me and My everything ... Everything ofcoz!! And I too do!
Nampenda sana Smart! Mnooooo yani
Sasa mbona hujibu maswali ya msingi madam?
Yawezekana tuko staged mzee mwenzangu?Mzee mwenzangu acha kuhangaika na maigizo ya JF kama episodes za Manara...
ukisha weka neno mahaba kwa ulicho uliza jibu ni ndioVidole havina macho,nisamehe tu..!
Hongera kwenye mwezi wa mahaba ni kwa ajili ya Mume/mke/mchumba/mpenzi tu?
HahahahahahaYawezekana tuko staged mzee mwenzangu?
Yawezekana tuko staged mzee mwenzangu?
😅😅😅😅😅😅 kitanda cha moto.🎶🎼🎵Onanaanaaaa ononooooooo
Nakupenda Sanaaaa I love you more more 🎶🎵
Na tukigombanaaa mtulize mishonooo
Tunajuana mtachoka midooooomoooooo🎶🎶🎼!



nimechekaa hadi kupaliwa, khaaahHakuna cha Smart nisichofahamu wala changu asichofahamu bidada! Kaeni mkijua hilo!Wewe mtoa mada hivi ninani?? Halafu hajanijibu mwambie anijibu comment yangu sijui nikuambie au niache . Ngoja niache nikiwa nimechafukwa nitakuambia . Mie sikujui ni ID tu ila kuna jambo nitakuambiaga tu.
Ndio maana manywele umerudia nomino ya zamani, kumbe Ndugai karudi mjengoni![]()




waja mnayawezaaa.We nawe unalala mno 😂😂😂nimechekaa hadi kupaliwa, khaaah
Sometimes mganga wake huwa anafanya mafekechee had co poaa.
Sijui huwa anakuwa hajalipwa shukrani yake, woiiiiih
Mie simtaki hata kidogo sijawahi muwazaga humu nikihitaji ndoa napata ila namsimamo dear watasema!mengi ila ipo siku nitakushauri jambo urakuja nishukuru sana .Hakuna cha Smart nisichofahamu wala changu asichofahamu bidada! Kaeni mkijua hilo!
Juu yao tuAkiachika wanarudiana tena 😂😂😂
waja mnayawezaaa.
Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!




machawa tusisahaulike ktk hii awamu,Sukari na stroke tuTunakaribia Valentines lakini sielewi channel ya mapendo inashika namba ngapi 😁😁
ndugu zangu wa Jf Hivi mnawezaje kupata mapenzi yaliyotulia katikati ya drama 😁🙌🏾
😁😁😁😁😁Mie simtaki hata kidogo sijawahi muwazaga humu nikihitaji ndoa napata ila namsimamo dear watasema!mengi ila ipo siku nitakushauri jambo urakuja nishukuru sana .