Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,313
Hata kama nimezeeka nitapiga kura ya hapana kwaajili ya Wajukuu zangu.Si imekuwa mswada aa chadema kwa sasa, ngoja tuone kama bunge litapitisha mkuu..lazima jimbo liwe na wabunge wawili, tena wa kuchaguliwa...mambo yanaenda kasi sana.
Principal iwe mwenye kisu kikali ndiyo akate nyama kubwa 😜
