Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,727
- 50,080
Wakuu nikifika hii hatua mnipige hadi nizime....then mnifunge jiwe mkanitupe baharini familia wataokota mabaki ya mwili wangu watauzika
😀😀Kwaiyo shemeji yetu mwenye Mali na watoto imekuaje Tena 😀😀,hawez kutusuta tuko pamoja na yeye na shemeji yetu kwenye uzinduzi alipo dada na sisi tupo🤣🤣🤣🤣 wii nilipitwa ile siku aisee!! Nilimind
Maua apelekee Nyuki 😂😂😂Wakinga tunajua kuhonga, hatutoi maua sisi 😂😂
Wewe utajua haujuiKwamba manywele ni jinsia yenye jambia?
We umejuaje?
Dadeq!!"Steringi" huwa hauawi, tunaanzia pale pale tulipoishia Jo...
Kama ile ilikuwa ni season one, basi sasa tupo season two episode one...
Alieandika thread ni kidume?Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Rais akisafiri Nchi inakuwa chini ya makamu..!!😀😀Kwaiyo shemeji yetu mwenye Mali na watoto imekuaje Tena 😀😀,hawez kutusuta tuko pamoja na yeye na shemeji yetu kwenye uzinduzi alipo dada na sisi tupo
Waswahili walisema kuuliza sio ujinga, huenda ukajibiwa na kuridhika kabisa.😂😂😂Nilitak kuuliza nikaogopa kusutwa
all tha best, may our god be with you step by step today be better than yesterday and your tomorrow be better tooMahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you...
I was soft inside... There was something going on...
Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I will hold you closer to make you feel no pain...
Tender love is blind... It requires a dedication... All this love we feel... Needs no conversation...
We ride it together... Making love with each other... That is what we are... No one in between...
How can we be wrong... stay with me... And we rely on each other...
If the love was gone... Everything is nothing...
And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...
View attachment 2892128
Wewe hujajuaje?We umejuaje?
We nawe umezidi kudoji.!! Huyo shem miongozo ni kidumeAlieandika thread ni kidume?
Mahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you...
I was soft inside... There was something going on...
Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I will hold you closer to make you feel no pain...
Tender love is blind... It requires a dedication... All this love we feel... Needs no conversation...
We ride it together... Making love with each other... That is what we are... No one in between...
How can we be wrong... stay with me... And we rely on each other...
If the love was gone... Everything is nothing...
And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...
I am so thankful for you and the love we share my king
.
Thank you for being my partner in life and for the love you bring to our love.
I am grateful for you every day and for the love that has grown between us Smart911
Am so grateful for your love. Thank you for loving me unconditionally swirrrrrrryyyyy
I am so blessed to have you Smart You are so ameizing so wonderful my bebiii💕 Thank you for loving kimimii
Ailaaavvvvyuuuuuuuuuuuuuuuu smart wanguuuuuu💕💋💋!
Wataachana tuKwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Duh!...
Asante Dj! Naona sasahivi Cc zimerudi kwa kasi. Hebu ngoja twende nao sawaKwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Tulia tunaagiza canter nzima ya ndosa na sungwe 🤣🤣🤣Maua apelekee Nyuki 😂😂😂