Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,841
- 5,922
Hakuna Chai ☕️ Ngumu mbele ya MkateHakuna mkate mgumu mbele ya chai
Hakuna Chai ☕️ Ngumu mbele ya MkateHakuna mkate mgumu mbele ya chai
Labda ni bondia🤔Aliyempa mimba ana roho ngumu sana, anaweza kula ugali na sumu..!!
Hivi,unaijua akili ya mwanaume akishaiona mbunye mubashar hii hapa inamualika?Aliyempa mimba ana roho ngumu sana, anaweza kula ugali na sumu..!!
😹😹😹 Mnayaweza kwakweli hamna tofauti na wanyama..!!Hivi,unaijua akili ya mwanaume akishaiona mbunye mubashar hii hapa inamualika?
Kuliko wanaume wanaohusiana na wanaume wenzao?Mwanaume wake ana roho ngumu hatari
Mkuu umezungumza kitaalamu. Ila wadau humu wao wanazungumzia hisia namuonekana.Kuna haya mambo lazima uelewe Jinsi na Jinsia .
Wewe unapomkataa mtunisha misuli unakuwa umeangalia issue ya jinsia na sio Jinsi.
Ukiangalia inner qualities ambazo ndo zinapelekea yeye kupata mimba , Ku have , kuingia bleed , n.k unakuta anafaaa na sifa anazo.
Mfano ukiwa mtaaani kuna wanawake wengi wanajinsia za kike Ila hawana jinsi za kike.
Huyo Loveness , she gonna be a wife material, Good mother and etc
Ila hauwezi kuelewa ikiwa utatawalia na mtazamo wa ngono tu kichwani.
Mkuu ni Tanaduni tu na ni ngumu kuondoa Mira na tamaduni kwa mara moja.Wabongo tupo nyuma sana. Mambo kama hayo jamii zetu tunafanya kushangaa sana.
Ha ha eti ugali na sumuAliyempa mimba ana roho ngumu sana, anaweza kula ugali na sumu..!!
Kwanini unasema hivyo mamii? Ina maana huyo dada hastahili kuwa mpenzi? Au Hana hisia jamani?Wanaume kilichowashinda duniani ni kuji do wenyewe otherwise mikono,vichaa, wote wanapitia..
Sina maana huyu dada hafai kuwa na mtu ila inahitaji ujasiri wa huyo mchumba wake
Jamani mamii sijasema vibaya...😃😃😃hongera kumbe na ww una kifua kipanaKwanini unasema hivyo mamii? Ina maana huyo dada hastahili kuwa mpenzi? Au Hana hisia jamani?
Mbona mi mtu wa kunyanyua vyuma sana TU na nna kifua kikubwa pia na jamaa yangu deile ananisapoti
Mdogo mdogo mtazoea tuJamani mamii sijasema vibaya...😃😃😃hongera kumbe na ww una kifua kipana
..sema tuu hatujazoea hiyo hali