Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Mwanadada mbeba vitu vizito, Loveness Tarimo ametangaza kuwa yeye ni mjamzito kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Namtakia kila la heri, atuletee anko salama!!
View attachment 3425578View attachment 3425579View attachment 3425580
Huyu ni mwanaume. Nitakuwa wa mwisho duniani kuamini kwamba huyu ni mwanamke.

Hakuna mimba hapo, anatupanga vizuuuri kisha aadopt mtoto halafu aje kusema amezaa.

Niliona sehemu mdada anatangaza anauza mimba bandia (kama zile tight zenye hips)
 
Mtazamo wa kingono ndo unakufanya usione huyo ni mwanamke.

Ukijua utofauti wa jinsia na jinsi , Sex and gender ila ndo hivyo .

Kama mwanaume anaweza kulala na Malaya wa kimboka , akalala na kichaa n.k atashindwa vipi Ku have sex na mtunisha misuli.
Hiyo Cha mtoto Kuna wale wanaume wanabaka watoto wao wa kuwazaa, au wanabaka watoto wa miaka 10 kushuka chini
 
Back
Top Bottom