Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,414
- 24,649
Nina hakika aliyempa mimba huyu mdada hata wema sepetu akilegeza imo
Hapa bado napinga hoja mkuu.Mtazamo wa kingono ndo unakufanya usione huyo ni mwanamke.
Ukijua utofauti wa jinsia na jinsi , Sex and gender ila ndo hivyo .
Kama mwanaume anaweza kulala na Malaya wa kimboka , akalala na kichaa n.k atashindwa vipi Ku have sex na mtunisha misuri.
Hapa bado napinga hoja mkuu.
Bado najaribu kuvuta picha ila zinafeli.
Sawasawa mkuu. Pongezi kwake kwa kubeba ujauzito. Pongezi pia kwa mwanaume wakeKuna haya mambo lazima uelewe Jinsi na Jinsia .
Wewe unapomkataa mtunisha misuli unakuwa umeangalia issue ya jinsia na sio Jinsi.
Ukiangalia inner qualities ambazo ndo zinapelekea yeye kupata mimba , Ku have , kuingia bleed , n.k unakuta anafaaa na sifa anazo.
Mfano ukiwa mtaaani kuna wanawake wengi wanajinsia za kike Ila hawana jinsi za kike.
Huyo Loveness , she gonna be a wife material, Good mother and etc
Ila hauwezi kuelewa ikiwa utatawalia na mtazamo wa ngono tu kichwani.
Huyo bwana ni wa tofauti 😂😂😂😂Mwanaume wake ana roho ngumu hatari
Hatari sana! Huyo anaweza kumshenyenta hata MugabeHuyo bwana ni wa tofauti 😂😂😂😂
hata mimi nilitaka kusema hivyohivyo daaa aiseeMwanaume wake ana roho ngumu hatari
Kuna watu Wana roho ngumu sana mkuu.Kama wanaume wanaume wanawapa vichaa mimba sembuse huyu ambaye anajua kuoga
Utoto unakusumbuaKuna watu Wana roho ngumu sana mkuu.
Hii ni ajabu!Mwanadada mbeba vitu vizito, Loveness Tarimo ametangaza kuwa yeye ni mjamzito kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Namtakia kila la heri, atuletee anko salama!!
View attachment 3425578View attachment 3425579View attachment 3425580