Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Wanaume kilichowashinda duniani ni kuji do wenyewe otherwise mikono,vichaa, wote wanapitia..
Sina maana huyu dada hafai kuwa na mtu ila inahitaji ujasiri wa huyo mchumba wake
 
Duh, huyu unatongozaje maana zile genes za kike hakuna hapo, except uke tu
 
Hahaha... Ila kweli
Mimi nilikuwa na "shemeji" yangu alikuwa anabeba vitu vizito.

Wanafanya mashindano yao kabisa.

Na wanaume wanajaa kibao kuja kuwaangalia na kuwashangilia.

Hiyo Marekani. Ila bongo hivi vitu vinaonekana vya ajabu.
 
Wabongo tupo nyuma sana. Mambo kama hayo jamii zetu tunafanya kushangaa sana.
 
Wabongo tupo nyuma sana. Mambo kama hayo jamii zetu tunafanya kushangaa sana.
Naam,

Na "shemeji" hiyo ndiyo passion yake mpaka kaamua kuacha kazi kaanzisha gym yake mwenyewe anaiendesha.
 
Back
Top Bottom