mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,394
mbona una maneno mengi hivyo kampeni si zimeisha!acha zako wewe,kwani kuweza kuweka hyo love bite ndo kiashirio cha kumaliza balehe? kuna watu kibao hawajui hyo love bite nini na wengine wameoa,btw hzi mambo sisi tunaiga tuu toka kwa tamaduni za magharibi so kama wewe unaona kuweka love bite ndo kupevuka au kukomaa na kukua bas nakuweka kwenye kundi la watumwa wa kifikra.
.....meno tena sasa sianaweza kutoa nyama