Love bite - black chocolate

Love bite - black chocolate

Haha hawana noma, bado wanashangaa mjini. Again, simjui any Silas.

Hhahahahahaa naona wewe wanakuogopa hakuna aliyekushambulia, au na wewe ni wa huko?

Wherever, either you know Silas or you don't know him .............. you were together in jail so long as you are Paul. Otherwise you change your name.
 
wanasemaga ukizama kwenye ulimwengu wa mapenzi, hata mtu aje akupe taarifa kuwa mzazi wako anaumwa kalazwa mahututi hustuki husikii wala huelewi sasa sijui kama akili ikishindwa kung'amua hayo, itaweza kuwaza kuwa mtarajiwa mnyonywa kapaka nini eneo nyonywa.............🙄😕
Daaah acha tu aisee, Hii kitu ni hatari sana na ina uwezo wa hali ya juu ktk kuiteka akili ya mtu.
 
Usijali sababu mtu hata awe mweusi vipi lakini mapajani na matakono huwa pana unafuu,mimi ndio huwapiga mihuri wanawake sehemu hizo,.

Eeeeh kumbeee..... basi mie napitwa na mengi............🙂🙂
 
Haya basi nipe tarehe niandike kwa diary yangu na pipi mti ya machungwa ntakupa mtoto mzuri eenh.

On my birthday 10th June whole day is yours

Pipi ya kijiti hapana coz sipendi pipi ila chocolate naipokea na magoti ya kinyamwezi juu.
 
Ooooohhhhh so it's about marking your territory............ aaiiseee I didn't knew, and which way atleast the one that should not harm to users
Yes ninapoacha marks ni kama Simba anapo pee kwenye mti kuwajulisha wenzie hey watch out this is my territory, lakini kwa inabidi utumie njia nzuri ya kuacha hiyo mark sio mpaka mtu anakuogopa no no no I have to protect her
 
Yes ninapoacha marks ni kama Simba anapo pee kwenye mti kuwajulisha wenzie hey watch out this is my territory, lakini kwa inabidi utumie njia nzuri ya kuacha hiyo mark sio mpaka mtu anakuogopa no no no I have to protect her

Mimekupata best.
 
Back
Top Bottom