Love bite - black chocolate

Love bite - black chocolate

Densi hiyooooo 🙂🙂🙂



Mmmmmhhhhh as usual, back with same quality............. love that.

Thanks for the densi.............( GOT IT )😉
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unaambiwa rangi ya Dada ni kama Lupita Nyongo sasa kama sio kuuana ni nini haswaaaa... Huyo jamaa ni mwehu kweli kweli

Hhahahahahaaa kweli kuweka chata ya mapenzi aka love bite kwa mtu mwenye ngozi kama Lupita ni kutaka kuuana hakiyanani heheheheeee
 
Nadhani atakapoamua kurudi basi abebe na kopo la rangi nyekundu kabisa maana kwa kumnyonya mwenzake kiasi akaelekea kupoteza fahamu kwa dakika hizo ni zaidi ya hatari haswaaa

Hhahahahahaaa kopo la rangi nyekundu linahusika aiseeeh, vinginevyo hali ya hatari inabidi itangazwe hahahaaaa looh
 
love bite inawekwaje,unang'ata au unafanyaje?

Hata mie sijui naona mashokolo mageni tuu ngoja wenye uzoefu nayo watakueleza inawekwaje khaaa ila uw na tahadhari usijepatwa na kesi ya kutaka kuua bila kukusudia hahahahaaa
 
Hahaha jamaa kachukulia love bite literally. Wasukuma sasa mmezidi.

Heheheheee wakija useme nao mwenyewe maana sijawataja kabisaaa, la ujiandae kurudi gerezani na huko ndo utafikisha salamu zangu kwa Silas maana siku zote naona unakaa nazo tuu huzifikishi.😛
 
Haihitaj meno...Unabana tu nuama kwa kutumia lips Huku umeivuta ndan ya mdomo
Ivoo eeeehh ngoja nijifanyie majarinio mwenyewe kwenye mkono wangu, halafu ili chata itokee inachukua muda gani? Ila kuna chata nyingine za love bite naonaga na alama za meno.......... hapo vipi......... au hizo sio love bite? ni ngumi bite? 😀😀😀
 
sometimes it's important to Mark your territory, but not that way huh

Ooooohhhhh so it's about marking your territory............ aaiiseee I didn't knew, and which way atleast the one that should not harm to users
 
Love bite ni kunyonya shingo kidogo sio kutumia meno na alama nyekundu itabaki for some days ,,,,,mambo mengine yanahitaji uzoefu

Bora umeeewesha walau na mie nimeanza kupata mwanga, ila kwa mtu mweusi kama Lupita au Mpoki na yenyewe itaonekana?
 
Ahahahahaha

kuna Mdada aliniambia " usini kiss shingoni banaaa"
mtoto mweupeee

Hhahahahaaa aliogopa nini? au alikuwa mali ya mtu mwingine mlikuwa mnaiba?

Ila shingo ni one of very sensitive areas.....
 
Saluni wanawake wengi wanaenda kujifunza upuuzi!naona kama mtoa mada nae anatamani kung'atwa na hajawahi.
 
Haya mambo ya kulambana kama chatu ni hatari sana. Mwenzako kapaka ma-lotion yake na mazagazaga mengine then we unakuja kutia ufundi wako.
Ukipata kansa ya koo unataka uhurumiwe...
 
Back
Top Bottom