Love bite - black chocolate

Love bite - black chocolate

Work from home eeh!


Heey one of Kasie's favourite boy.... 😛
It has been long time mmmmmhhh ...... good to see you again. Hope msuli anakuwekea chata barabara
Always, bin popo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha kasinde umenichekesha htr hyo atakuwa dungdunga au vampire hah!!nakumbuka cku moja bae wngu akaniambia natka nikukic shingon mi nikajua just a kiss,akaanza taratibu nikawa nackilizia utamu lol mara kaanza kukaza mdomo mara meno yapo juu ya shingo weee!!!alikula kofi mpka 5 finger zikatokea mana nilihic anataka kunikausha damu!!!!
hahahahaahaaaaaa na utamu ukaishaa woooote
 
sometimes it's important to Mark your territory, but not that way huh
 
Indeed mapenzi na manjonjo yake hayana umri.

Lakini nimeshangazwa na huyo jamaa alivyoamua kumkula shingo huyo bidada.

Uzoefu wangu na nijuavyo mimi Love Bite normally inatokea spontaneously in the process ya kugegedana....mkiwa kwenye dimbwi la kupeana maraha mnajikuta mmeishia kuwekana maalama kama hizo love bites n.k n.k
Yaani kwakweli jamaa naona alitaka kuweka tatoo na sio love bite khaaaa hehehehheeee
 
Hahahahaha kasinde umenichekesha htr hyo atakuwa dungdunga au vampire hah!!nakumbuka cku moja bae wngu akaniambia natka nikukic shingon mi nikajua just a kiss,akaanza taratibu nikawa nackilizia utamu lol mara kaanza kukaza mdomo mara meno yapo juu ya shingo weee!!!alikula kofi mpka 5 finger zikatokea mana nilihic anataka kunikausha damu!!!!

Hhahahahaaa jamaa atakuwa vampirekwakweli mie mwenyewe nilicheka mnooo,

Ila ya kwako kiboko, kuona roho inataka kutoka ukampiga kibao bae wako hehehehee love bite zina mamboo hahahaaa polee lakini japo haijai chungu.
 
Huyo mwanafunzi bado,dkk 25 unaweka lovebite au unanyonya damu?,hata vampires hawatumii mda kunyonya damu khaaaa
Lovebite uwe mweupe uwe mweusi inaonekana mbona as long as jamaa awe mtaalamu,ila kama ndo upate vampire unalo, lazma akutegue mshipa wa damu

Kumbe ina utaalam eeeh kweli mashokolo mageni haya kwa Kasie looh. Halafu love bite huwa zinawekwa maeneo maalum au popote pale?

Sasa kama hiyo love bite inawekwa kwa utaalam ikiwa haina maumivu kwa muwekwaji na haichukui muda tena hata mtu mweusi itaonekana.... eeehhh hata weusi kama Mpoki au Lupita bado love bite itaonekana.....!!!!????? kweli utaalam unahitajika mie ujuzi huo sina itabidi nianze tuition ya uzeeni.
 
Interesting

You are interested in so many things eeehh.............. I wonder how you manage your interests..............

Anyways, there are things in life are so difficult to explain............ you know why.

Msalimie kabanga maana nae utamsikia ''Aiseeeh.....''
 
Love bite ni kunyonya shingo kidogo sio kutumia meno na alama nyekundu itabaki for some days ,,,,,mambo mengine yanahitaji uzoefu
 
Ahahahahaha

kuna Mdada aliniambia " usini kiss shingoni banaaa"
mtoto mweupeee
 
Pole sana best....ila huyo bae wako atakuwa mjukuu wa vampire huyo. Love bite kimsingi utakachosikia ni raha tuuuu baasi. Anahitaji orientation aisee. Mara nyingi mtu unakuja kushtuliwa na alama aidha wakati unajitazama kwenye kioo au mtu mwingine kukustua.

Huo mchezo hauhitaji hasira na kuanza kuumizana. Ha ha ha

Hheheheeee kwahiyo jamaa alitumia hasira atimaye kuzalisha maumivu looh
 
LOL! hahahahahaha hujasahau tu hii MSULI? Msuli she is doing so well she is very special in so many ways.



Heey one of Kasie's favourite boy.... 😛
It has been long time mmmmmhhh ...... good to see you again. Hope msuli a
Always, bin popo.
 
LOL! hahahahahaha hujasahau tu hii MSULI? Msuli she is doing so well she is very special in so many ways.



Huko sasa kutiana wivu hukoo.............

Siwezi kusahau n that proves that you were always in my mind while you were away.......

I just don't want to say how big I missed you 🙂🙂🙂

Kasie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Densi hiyooooo 🙂🙂🙂




Huko sasa kutiana wivu hukoo.............

Siwezi kusahau n that proves that you were always in my mind while you were away.......

I just don't want to say how big I missed you 🙂🙂🙂

Kasie.
 
Kasinde
nipe mie kama hili...
upload_2016-5-31_13-12-20.jpeg
 
Asante mkuu kibaya ni kuwa hatukuwA deep kwny mahabati so it means akili yngu ilikuwa normal mi nakAjua kiss ya kawaida heh kumbe kachange gear angani!!!hahahHaha mpka leo naogopa sana hyo kitu!!!

heheheee umepata woga poleee, ila wenyewe wanasema ukipata orientation basi unakuwa fundi.... labda uwaone wakupe darasa hahahahahaa love bite kumbe inavisanga vingi hehehee
 
Back
Top Bottom