Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
510
Reaction score
346
Habari wa jf nipo mjini Mtwara hapa,ktk kile kinacho dhihirisha kua wana Mtwara bado hawajakubaliana na hoja ya watawala kua gas iende Dar lori lililokua limebeba shehena ya mabomba ya gasi limeshambuliwa kwa mawe mara tu lilipoanza kuingia manispaa ya mikinda Mtwara mjini na dereva kujeruhiwa vibaya.

Mpaka sasa lori hilo lipo kituo kikubwa cha polisi hapa Mtwara.

Ni wiki moja tu imepita watu kazaa walikamatwa na polisi hapa Mtwara kwa kile kinachodaiwa kusambaza waraka wa kuhujumu miundombinuu yote ya gas mara tu serikali itakapo anza utekelezaji wake wa ujenzi wa bomba hilo kupeleka Dar.
 
Habari wa jf nipo mjini Mtwara hapa,ktk kile kinacho dhihirisha kua wana Mtwara bado hawajakubaliana na hoja ya watawala kua gas iende Dar lori lililokua limebeba shehena ya mabomba ya gasi limeshambuliwa kwa mawe mara tu lilipoanza kuingia manispaa ya mikinda Mtwara mjini na dereva kujeruhiwa vibaya,
mpaka sasa lori hilo lipo kituo kikubwa cha polisi hapa Mtwara,
ni wiki moja tu imepita watu kazaa walikamatwa na polisi hapa Mtwara kwa kile kinachodaiwa kusambaza waraka wa kuhujum miundombinuu yote ya gas mara tu serikali itakapo anza utekelezaji wake wa ujenzi wa bomba hilo kupeleka Dar,

Duh actions speak louder than words.....
 
Wanaochochea itakuwa ni chadema tu, hakuna wengine.
 
Hii ndo serikali ya sisemi ambayo ipo hoi hajui inakolekea, kama kweli bc sasa hatuna mbele
 
Industrial location theories: Weight gaining industry is usually located at the market while weight losing industry is usually located at the source of row materials
Kwa kesi ya nishati ya gesi, ina matumizi mengi (viwandani/majumbani) ki mtizamo itakuwa vyema sehemu ya mitambo ikajengwa mtwara na sehemu nyingine ikajengwa dsm
Mewaza sana hadi TUMBO langu LIMEJAAA gesi ngoja nikanywe maji ya moto/uvuguvugu

....Hivi watu wa iringa/morogoro au Mbeya/Kilimanjaro wangezuia maji yasitiririke kuelekea mikoa ya pwani .............
 
C ndo ndomba na ubaya ndo wanachojua? Eti ndomba hv chadema inakunyima xana ucngzi? Nawe ubaya huna akili.
 
Tusiishie kupongezana ujinga mitandaoni, tuwe tunaenda na kupeana 'HI' lupango.

Upuuzi wa watu wa Mtwara nitaupinga daima! Acheni uchawi na kujitenga, Mtwara haitabadilika kwa tabia zile zile hata mkipewa almasi.

Sidhani kama wanaMtwara wanataka kujitenga.......issues has to be addressed na sio kupigana virungu.WanaMtwara lazima watakua na hoja za msingi kabisa ambazo zisiposikilizwa,sustainability ya huo mradi itakua mashakani.

Albert Einstein aliwah kuema kwamba "Any intelligent fool can make things bigger, more complex, and more violent. It takes a touch of genius -- and a lot of courage -- to move in the opposite direction."

We do need that genius to change the direction......virungu,wanajeshi,mabomu ya machozi havitatusaidia katika hili.....
 
Wananchi wa mtwara wanakosea sana
cjui wabunge wao wanakazi gani badala ya kukaa na wananchi wao kuwaelewesha
ufinyu wa mawazo huo
wanadhani mitambo ikijengwa huko ndo wameuaga umaskini, kumbe sio!!

fanyeni kazi mtwara, acheni mambo ya ajabu
 
Wananchi wa mtwara wanakosea sana
cjui wabunge wao wanakazi gani badala ya kukaa na wananchi wao kuwaelewesha
ufinyu wa mawazo huo
wanadhani mitambo ikijengwa huko ndo wameuaga umaskini, kumbe sio!!

fanyeni kazi mtwara, acheni mambo ya ajabu

mkuu hii tarifa haina ukweli hakuna uthibitisho wa kutufanya tuiamini tarifa hii,
 
mmh!! sijui nani atawaelewesha waweze kuelewa hili swala la gesi labda malaika toka mbinguni
 
siasa za cuf na chadema zinachekesha sana ni uongo na vurugu tu wao wameona ndiyo mkombozi wao.
 
Back
Top Bottom