Loose ends Kifo cha Martha Towo

Niliwahi kuweka Post nikishauri JF iboreshwe iwe kama ilipoanza, mabosi wakafuta! Usijali acha twende hivihivi.
 
Sasa wadhulumaji ndo wamefanya mauaji
 
Sasa wadhulumaji ndo wamefanya mauaji
Inawezekana ila hamna ushahidi kwa vile bado uchunguzi unaendelea, Ila kwa mujibu wa baba yake kwenye mahojiano na Millardayo majuzi alisema ishu ya mtoto wake kuuliwa, ana uhakika haihusiani na mapenzi. Sasa wewe sio mtoto mdogo fanya mahesabu yako ; Je, 1+1 =2 au 1+1 =11. Kazi ni kwako.
 
Mara nyingi tumia gugo renzi kuhakiki vitu unavyoona mtandaoni. Hayo MAPICHA unayoyasema waerevu watakuona kuwa una tatizo la akili.

Moja ya kiongozi mkubwa wa Islamic state aliwai sema kuwa alikuwa anazunguka msikitini huko saudi Arabia ili kukusanya michango ya kuendesha Kikundi Chao.
 
Dhulmaa inaumiza mnooi
 
Na wewe unaona Saudi Arabia na marekani ni vitu viwili tofauti!!?
 
Na wewe unaona Saudi Arabia na marekani ni vitu viwili tofauti!!?
Hakwenda kwenye familia ya kifalme inayotawala Saudi Arabia kukusanya michango, alikiuwa akizunguka MISIKITINI ndani ya Saudi Arabia na kwingine kukusanya michango ya kuendesha kundi lao lenye dhumni la kusimika ukharifa
Na suala Saudi Arabia na marekani kuwa ni kitu kimoja ni inshu mtambuka sana.
 
Huelewi chochote kuhusu Vita vya ISIS/isil na wafadhili wao,kwa hiyo alikua akipita misikitini na kunadi tuchangieni tukasimamishe ukhalifa huko Levant!?..hivi unajua raia wa kiarabu wanavyowachukia ISIS au daesh Kama wanavyowaita wao!?..ulikua haadhiri marekani walipowashushia silaha ISIS kule Iraq!?..ulikua ukifuatilia mambo Obama aliposema 'assad's time is up'!?..Assad alikua akipambana na nani!?
 
Polisi wa Tanzania nadhani wako very poor kwenye kesi za upelelezi kama hizi. Ndio maana hadi leo wameshindwa kufanya upelelezi wa kesi ya Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe baada ya kuondoa walinzi na kung'oa CCTVs zilizokuwa eneo la tukio.
 
Asante sana mtu mzima Arovera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…