Loose ends Kifo cha Martha Towo

Inawezekana alitumiwa ujumbe mfupi
 
mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyeti




Unahoja nzito sana usikilizwe
 
Hao jamaa watakamatwa kama kumbi kumbi labda wachimbe shimo wajifukie huko walipo wanajuta kwa ujinga waliofanya hata wakilewa kila siku pana muda Pombe inapotea damu ya binadamu ni nzito sana...madili mengine wanapewa ya kijinga kabisa..
Ni mambulula tu. Na kama ni janajike limeorganise hayo mauaji.. Nalo lijiandae kuoza.

Maana Hakika halitasalia jiwe juu ya jiwe. Kuna watu wamefanyiwa usaliti na uasi mbaya kuliko hao wahusika. (kama ni usaliti) je kila mtu awe polisi na jaji kwa pamoja? Kipimo cha kuhandle matatizo yako kwa ukubwa wake ndio kipimo cha ubora wako kama mmoja Mwenye thamani kubwa.
 
Na kama alikuwa mpenda Rupia sana( maana kila mtu anapenda) basi tena.
Msukuma atakupa hata Milioni 50 ila ukizingua umekwisha. We utamuona kama hamnazo vile
Kama angekuwa hamnazo asingekuwa na hizo pesa. Ambae hamnazo ni huyo anaewaza usaliti kucha kutwa ilhali vizuri navyo anapenda.
 
Hamna cha ushamba. Hiyo ndio inaweka clear distintion kati ya binadamu na kuku ama kindege.
 
Uenda pana mchumba alimkataa,pia ishu ya kuacha Kazi kivipi
. Alikuwa na tuhuma,pana upotevu Kazi,ajaridhishwa na wizi wa wafanyakazi wenzake akaona bora aache kazi,hapa pana pa kuanzia
Unajua kuna mambo hutokea maishani then mnakubaliana kila mmoja asepe ili kutoleta suspicion.

Sasa baada ya mtu kusepa bado mwingine kutokana na wanavyofahamiana anaona bado hawez kuwa salama. Then anaamua kukuzimisha.

This is the result of Lack of Trust and loyalty on other side.
 
Navyozidi kuusoma huu uzi ndio navyozidi kubadilika, inavyoonekana kwa huyu dada kuna dalili ya kuwadhulumu wenzake na kuwatosa. Sasa kwangu mimi sipendi DHULMA kabisa maana unaowafanyia hivyo wana familia pia, na walikua wanategemea kipato hicho, Inauma sana hio. Dhulma sio nzuri na adhabu yake ni mauti. Nilishawahi kudhulumiwa deal tulicheza kule long room maumivu yake ningeweza kumfanyia yule jamaa kitu mbaya sana, bahati nzuri nilikuja kuondoka bongo na jamaa baada ya miaka michache nilisikia alifariki kwa umeme wa grid ya taifa.
 
Still bado huwa haisaidii labda iwe damu isiyo na hatia.
Kuna damu ya hatia na damu isiyohatia.
Mwizi, muuaji, mchawi ni damu yenye hatia upati laana ukiua watu hao KWA sababu tayari wana laana.
Na wapo chini ya laana
 
Deep
 
Niliona andiko hili Twitter kwa fbuyobe sasa sijui ni mtu mmoja au tofauti? Anyway analysis nzuri
 
mimi sipendi DHULMA
 
DHULMA mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…