white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,894
Mhalifu lazima kwanza awe mtuhumiwa,ila mtuhumiwa sio lazima awe mhalifu.Sasa uliposema hadi leo hawajakamatwa ulimanisha nini?Hata hao waliomuua huyo dada watakakapo kamatwa watakuwa ni watuhumiwa kwanza.Walishikwa wa Dada Wa ITV au ni wahisiwa maana mahakama ndio inatoa muhalifu
Ujue kutofautisha
Mtuhumiwa
Mahabusu
Mhalifu
ma investigator wetu wengi hawana ujuzi na hawana PASSION YA KAZI KABISA KABISA !!!!! WENGI WANAISHIA KULA RUSHWA YA NGONO NA PESA TU!!!!!! ANYWAY UMASKINI LABDA UNACHANGIA NA KUKOSA UZALENDO!!!Yule wa house girl imeishia wapi
KWA JINSI ULIVYO DODOSA ILI TUKIO LA MAREHEMU MARTHA TOWO TENA KWA HARAKA HARAKA TU HAKIKA UTAKUWA NA PASSION NA MAMBO YA UCHUNGUZI!!!!!!!! HARAFU PIA KWA SASA KAZI YA UPOLISI INATAKIWA MA GENIUS SIYO VILAZA!!!!Mmh kwanini[emoji848] kuna kampuni moja mpya nadhani haina hata mwaka
ohh mie huu uzi wako sjausoma wote nimeingia huko nakutana nayo nikawa nasoma soma na comments nikasema nishee huku itabidi umwambie akupe creditMungu mbona kama kanakili almost kila kitu toka kwenye uzi wangu?[emoji23]
Soma hizi kisha rudi kwenye uziohh mie huu uzi wako sjausoma wote nimeingia huko nakutana nayo nikawa nasoma soma na comments nikasema nishee huku itabidi umwambie akupe credit
Angalia usijekutuongoza kwenye hiyo dhahamaNdio
Wanaandikiana zile za mabango. Huwa haziwezi kupita counterUshamba Amna cheque ya billion 1 acha ushamba
...Bado hio Teknolojia, Kaka. Ni Sinema TU. Ukifa, umekufa. Na macho na Ubongo vinakufa. Haviweki kumbukumbu...!Ni fact
Una HOJA usikilizweAlafu 1B inaidhinishwa Head Office hata ikisainiwa Branch. Tatizo la watanzania ni ujinga na kuleta ujuaji kwenye vitu wasivyovielewa.
Ipi hiyo tenaMmh kwanini[emoji848] kuna kampuni moja mpya nadhani haina hata mwaka
KabisaSoma hizi kisha rudi kwenye uzi
2. Kingine katika upelelezi, jambo ambao nimeamua kutolipuuzia ni her last moments
(a) Mahusiano yake kazini/ wateja wake/ marafiki zake
(b) Kwa nini auwawe Kibaha eneo la nyumbani kwao na sio Kahama kazini kwake?
Hapa kuna makosa ya kiufundi ya wauaji yatagundulika
Mara nyingi muuaji hujiandaa kutofanya makosa wakati wa mauaji.
Kwanza ataandaa logistics za kumsaidia kutekeleza mauaji
Pili anaweza kuandaa wasaidizi
Hapa namaanisha atatumia chombo cha usafiri, anaweza kumpa mtu kazi kumfatilia target na atafanya mawasiliano
Uchunguzi wake utaanzia kazini kwake, maisha yake nje ya kazi, marafiki zake, wateja wake, mishe na dili zake, mawasiliano yake pamoja na mahusiano.. Hapa ni kwa ajili ya ku 'establish' Msingi wa kesi na 'motive' ya muuaji/wauaji.Soma hizi kisha rudi kwenye uzi
2. Kingine katika upelelezi, jambo ambao nimeamua kutolipuuzia ni her last moments
(a) Mahusiano yake kazini/ wateja wake/ marafiki zake
(b) Kwa nini auwawe Kibaha eneo la nyumbani kwao na sio Kahama kazini kwake?
Hapa kuna makosa ya kiufundi ya wauaji yatagundulika
Mara nyingi muuaji hujiandaa kutofanya makosa wakati wa mauaji.
Kwanza ataandaa logistics za kumsaidia kutekeleza mauaji
Pili anaweza kuandaa wasaidizi
Hapa namaanisha atatumia chombo cha usafiri, anaweza kumpa mtu kazi kumfatilia target na atafanya mawasiliano
FactWanaandikiana zile za mabango. Huwa haziwezi kupita counter
[emoji1544][emoji1550]Ipi hiyo tena View attachment 2551159
...wale wa area D...Kama wale jamaa kule Dodoma kipindi kile.
platozoom Soma elewa, usiwe na haraka ya kujibu unachojua. Rudia tena , rudia tena. Jipime na ulichojibu!!Wakati mwingine mnapopata habari kama hizi changanya na akili zenu. Hakuna cheo cha doctor mkuu, hakuna hospitali inaitwa Mwimbili, hakuna utaratibu wa kuandika cheki ya bilioni moja, hakuna utaratibu wa Boss kumpigia baba wa staff kuwa mtoto wake aache kazi
Umejuajee [emoji23]Uyu jamaa asione hii ataicopy twitter na kuongezea mbwembwe za uongo na kweli alaf awavute TELEGRAM ukimwambia umeitoa JF anakulima tofali
NAJUA UTAPITA HAPA BUYOBE WEWE UNAAKILI NDOGO SANA[emoji706]View attachment 2551176