Wakati mwingine mnapopata habari kama hizi changanya na akili zenu. Hakuna cheo cha doctor mkuu, hakuna hospitali inaitwa Mwimbili, hakuna utaratibu wa kuandika cheki ya bilioni moja, hakuna utaratibu wa Boss kumpigia baba wa staff kuwa mtoto wake aache kaziNukuu kutoka chanzo kisicho halisi:
Inasemekana alinayehisishwa na kifo chake ni Boss wake …
Aliaambiwa afoji check ya 1B isemekane imeandikwa kimakosa ili hiyo hela isionekane Bank .. Lakin Binti alikataa..
Boss alimsumbua akakosa amani akaomba ruhusa kuja Kibaha kuisalimia familia yake .. Lakin alikuwa akiwasiliana na Mchumba wake nakumpa taarifa hizo..
Alipokuja Kibaha alimshirikisha Baba yake Mzazi ambaye ni Doctor Mkuu Mwimbili Dar. Siku chache kurudi nyumban Boss wake alimpigia Baba yake huyo Binti kumtaka amwambie mwanaye aache kazi ndani ya masaa 24 . Baba ake akahoji kwakosa gani mwanangu alilolifanya?
Lakin siku ya pili alipigiwa simu na mmoja wa wafanyakazi wenzake Kahama kumjulisha wamekuja Dar kikazi wanapita kibaha wamsalimie… According to that .. Alipokea simu kwamba wamefika wakutane alipotoka ndyo hakurudi tena ..
Kupelekwa porini na kuchomwa moto na sindano za sumu .. Alijitahidi kujikongoja mpka eneo la makazi ya watu .. Nakuonba msaada apigiwe simu Baba ake .. Toka hapo alikata kauli na kukimbizwa Mwimbili.. na siku chache kuaga dunia..
Inasemekana Boss wake ameshakamatwa sheria itafata mkondo wake ..
Mungu ailaze roho ya marehemu Martha 😔.
Mwisho wa Nukuuu.
Kuna watu ni mabingwa wa kutengeneza fool proof na kuhamisha mjadala kwenye matukio kama haya ya mauaji.. Hiyo ishu ya marehemu kutakiwa kusaini hawala ya 1B inawezekana ikawa mojawapo ya mchongo wa kuhamisha magoliKing Kong III naona umetoa maelezo marefuuu.
Ulichoniquote ni mtu mwingine alitoa mawazo yake.
Nilichoona mimi, wakati tukio la taharuki kama hili, linatokea lazima kuna watu wanakuwa na A,B,C la tukio.
Ili kusaidia anaandika kama huyu. Wakati mwingine tuwe tunatoka nje ya Box, wengi wamekazana na 1B. Aliyetoa hiyo taarifa, huenda ametaka kuchanganya mambo, asijulikane niyeye.
Na huenda taarifa nzima haina maana, ila ametaka kusaidia eneo lenye chanzo tu. So wenye kazi zao waliobobea, wakisoma wanajua nini wanahitaji katika kila taarifa. Watakaa na kuchuja.
Sasa ulichoandika nikakuuliza na hii picha yake et alijitunza unaona vinaendana na hii picha ni ya muda Kuna latestIpo check post za mwanzoniView attachment 2550179
Yaani ni shida, mara alikuwa mhasibu mkuu, mara afisa mikopo etcNaamini matokeo baada ya deep investigation, hizo rumors hua ni kawaida kwenye matukio yoyote, kwanza kama unavosema alitakiwa kusain hundi ya 1B ndio lakini yeye alikua afisa mikopo tu muidhinishaji wa pesa ni muhasibu mkuu, na bado alikua hajasaini hivo bado hayo ni maneno tu, tuvipe nafasi vyombo vya uchunguzi vitaweza kueleza ukweli wote, japo kwenye kufetch information even rumor inasaidia kwa kuplay kama primary source of information
Hiyo inawezekana kabisa ilitengenezwa tofauti na hapo hao marafiki saa hii tayari watakuwa wako lockupKuna kosa moja kubwa tayari naliona hapa,kuna mahali nimesoma hapo juu kuwa marafiki zake walipiga simu kutokea Shinyanga kuwa wanakuja,na wakifika watamtafuta,hapa inaonyesha dhahiri kuwa ndio hao waliomuita alipokuwa kanisani,maana alitoka kwakuwa hakuwa na shaka na huo wito.Hii nayo itakuwa ni point of weakness ya wauaji...
Yaani afisa mkopo asaini check za bank? Hivi wanajua cheo cha mhasibu mkuu wa Bank, wanadhani wanapewa watu junior ee.Kuna watu ni mabingwa wa kutengeneza fool proof na kuhamisha mjadala kwenye matukio kama haya ya mauaji.. Hiyo ishu ya marehemu kutakiwa kusaini hawala ya 1B inawezekana ikawa mojawapo ya mchongo wa kuhamisha magoli
Harafu ukute mtu alikaa nje anapunga upepo,jamaa kaja akamuomba kama una salio naomba nipige,na kweli mtu unatoa simu yako mwisho wa siku ndio dhahama linakuangukia.Huyo aliyepiga simu ya mwisho kumwambia atoke nje ya kanisa ndo amechomesha.. katika ulimwengu wa sasa hakuna kitu rahisi kumshikisha mtu kama simu. Professional wangempiga bomba tu wapite hivi..
Unahoja nzito sana una pointUyo baba yake sijui ana moral zipi yaani anamuendekeza binti yake wakati anajua ana step on other people toes intentionally...
Eti mpambanaji my foot! Badala amu guide on the right path yeye ana muentertain...
kwamba wanaambizana kila kitu sijui meneja ivi mara vile apo kimazingira itakuwa walikua wanaishi kwa kujichunga watching over her shoulders thinking she gonna escape... if it were me i would have called peace... ningekua mpatanishi na sio kujivunia kuzaa kidosho eti ni kipambanaji ona sasa kampoteza.
And i doubt these killer a real one atakamatwa because ofcourse ni professional ame-cover track vzur no bullet rather a lethal injection then flammable liquid apo sio common laymens so watu watasumbuliwa tu yaani but chances za ku-slip zipo sana tu
Kujitunza kuna tafsiri pana sana na nyingi pia.. Msomaji yeyote anaweza kujichagulia mojawapo ya tafsiri hizo kwa muktadha wakeSasa ulichoandika nikakuuliza na hii picha yake et alijitunza unaona vinaendana na hii picha ni ya muda Kuna latest
Hii ndio picha nilikuwa naitaka[emoji849]View attachment 2550270
UmechemshaUkiwa ccm akili uwezi kuwa nayo.kwani polisi wakitaka kufanya uchunguzi wanakusanya taarifa na meneno ya wanyana pori?.
Usilete ujuwai wakima
Hii picha inaongea[emoji849]View attachment 2550270
Napinga hii hawawezi kuwa wazembe hvo mzee kuna namna wauaji walijua anakuja kutembelewa na wenzie wakatumia hyo chance...Kuna kosa moja kubwa tayari naliona hapa,kuna mahali nimesoma hapo juu kuwa marafiki zake walipiga simu kutokea Shinyanga kuwa wanakuja,na wakifika watamtafuta,hapa inaonyesha dhahiri kuwa ndio hao waliomuita alipokuwa kanisani,maana alitoka kwakuwa hakuwa na shaka na huo wito.Hii nayo itakuwa ni point of weakness ya wauaji...
Una HOJAWakati mwingine mnapopata habari kama hizi changanya na akili zenu. Hakuna cheo cha doctor mkuu, hakuna hospitali inaitwa Mwimbili, hakuna utaratibu wa kuandika cheki ya bilioni moja, hakuna utaratibu wa Boss kumpigia baba wa staff kuwa mtoto wake aache kazi
Si angeandika mzee au hadi uwezo wa kuandika wangeuharibu??Kama walitaka aishi wangechukua mafuta ya taa ya kutosha wakaweka kwenye vile vichupa vya mafuta ya cherehani halafu wakahakikisha wanamwagia masikio yote mawili asingesikia milele hadi anakufa au wangemfanya kua bubu kabisa yaani jamaa wapuuzi kweli kweli
Demu inaonekana alikua kishua sanaUKIANGALIA HADI PICHA KWA JENEZA UNAGUNDUA KUWA HAKUWA NA MAVAZI NDIO MAANA SURA YAKE YA NAMNA HIIII HAIPO.
SASA KWA TAARIFA ZENU NINAUWEZO MKUBWA WAKUSOMA SURA MTU AMBAYE ALISHAWAHI KUTANA NA SURA KAMA HII ATAKUWA KAGUNDUA JAMBO View attachment 2550293
Nakwambia hivyi PT hawawezi washika haonwauajiYaani ni shida, mara alikuwa mhasibu mkuu, mara afisa mikopo etc
Wee pimbi nawe tumekuchoka unatafuta ligi tu.Amna mtu atashikwa Kwa haya mauaji