THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,228
- 2,036
Kuna nukuu mzee MagangaCheque ya 1bn?...alafu maelezo yaliyopo mbona aliacha kazi 1 month ago..wewe unasema alienda nyumbani kupumzika?..isije ikawa mnatumika kucirculate wrong info kwa manufaa ya wengine wanaohusika
Kuna nukuu mzee Maganga
Na kuna mwisho wa nukuu.
Sasa hapo unaweza kuchuja ili na wewe usitumike. Ila hitimisho ni hili halihitaji wewe usomee course hakuna tukio litatokea jeshi la Polisi lisijue huwa ni suala la muda tu. Nimeweka sawa maana mtu anasoma na majibu yake kabla ya kuelewa.
Wao hawafanyi kazi bila raia taarifa nyingine wanazipata kwa mtu kama wewe.Una maana yote ya kina Ben, Azory, LIssu, jamaa kwenye viroba nk, hawa jamaa wanatucheza shere tu?
Labda wauwaji wajitokeze na kukiri wenyewe baada ya kusumbuliwa sana na mzimu wa Marehemu!!Amna mtu atashikwa Kwa haya mauaji
Linganisha na kauli yako hii:Wao hawafanyi kazi bila raia taarifa nyingine wanazipata kwa mtu kama wewe.
Kuolewa na Kupata watoto ni majaliwaHuo umri wake kutokuwa na mtoto wala kuolewa nao unaongeza maswali.
Ukishabikia kataa ndoa hiyo ndoa unaipataje? Na hayo majaliwa yanakujaje? Au hujui kuna wanawake pia pesa huwapa viburi na kuona hakuna nafasi ya mwanaume kwake?Kuolewa na Kupata watoto ni majaliwa
True huwa wanakuja kuelewa wakishachelewaUkishabikia kataa ndoa hiyo ndoa unaipataje? Na hayo majaliwa yanakujaje? Au hujui kuna wanawake pia pesa huwapa viburi na kuona hakuna nafasi ya mwanaume kwake?
Nyuma ya pazia Kuna mengi watu wasiyoyajua mpaka kufika hatua mtu kukufanyia unyama basi elewa fika kuna sababu za kinyama zilizopelekea hayo kutokea,Marehemu awezi kusemwa vibaya.ila aliachishwa kazi kwa sababu ( ).
Cheo chake ni afisa mikopo?.
Mdada mzuri aliyesumbua wanaume mpaka kumiliki gari aina toyota ratics new model.
Unajua bank transfer we mshamba mkuuKeypad isikufanye kila mtu akajua wewe ni mpumbavu kiasi gani. Nenda na mambo mawili ukae kimya au hekima ikuongoze.
Hawajui hawa watoto wa juzi waliisoma Cuba tuuu Venezuela,Iran, Russia, Vietnam na China ndio wataelewaMkuu umemaliza kila kitu hapa.!
Mshana picha yake haujaiona?Pengine alikuwa mchoyo(alijitunza) or else..!
Google unsolved caseKuna nukuu mzee Maganga
Na kuna mwisho wa nukuu.
Sasa hapo unaweza kuchuja ili na wewe usitumike. Ila hitimisho ni hili halihitaji wewe usomee course hakuna tukio litatokea jeshi la Polisi lisijue huwa ni suala la muda tu. Nimeweka sawa maana mtu anasoma na majibu yake kabla ya kuelewa.
umeongea ukweli kabisa.ndivyo wadada wa kichaga walivyoHuyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.
Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.
Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
Jibu swaliWao hawafanyi kazi bila raia taarifa nyingine wanazipata kwa mtu kama wewe.
Una HOJA kabisaLabda wauwaji wajitokeze na kukiri wenyewe baada ya kusumbuliwa sana na mzimu wa Marehemu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
HaelewiLinganisha na kauli yako hii:
"hakuna tukio litatokea jeshi la Polisi lisijue huwa ni suala la muda tu."
Achana nayeUkishabikia kataa ndoa hiyo ndoa unaipataje? Na hayo majaliwa yanakujaje? Au hujui kuna wanawake pia pesa huwapa viburi na kuona hakuna nafasi ya mwanaume kwake?