Loose ends Kifo cha Martha Towo

Unadanganywa na fake case
 
Watakwambia kama wamehonga?
 
Hapa naona wahusika wanavyohaha KWA waganga kama ilivyo akili ya mwafrika, waganga kuleni pesa zao. Watamaliza waganga wote lakini lazima watadakwa tu, damu ya mtu huwa Ina sachi muhusika soon tutasikia wamedakwa.
Labda sio mganga wa Makonda!
 
Kwenye hii kesi kamata kamata itakuwa kubwa si ajabu hata wasiodhaniwa watakuwa sehemu ya watuhumiwa
Alipokimbilia kwa majirani na kutaja namba za baba yake alizimia hapohapo au vipi? Hakuwaeleza majirani kilichotokea au hata kutaja wauaji?
 
Kivipi mzee.? Mimi sijaelewa hapa yani kwenye macho ya marehemu unaona vitu?
 
Cheque ya 1bn?...alafu maelezo yaliyopo mbona aliacha kazi 1 month ago..wewe unasema alienda nyumbani kupumzika?..isije ikawa mnatumika kucirculate wrong info kwa manufaa ya wengine wanaohusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…