Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,061
- 2,678
Wahalifu wengi huchora tukio hata zaidi ya mwaka!Nakuongezea na moja!
Hata IMEI za simh hua zinapigwa nyundo! Wanabadili IMEI kama ni kwenye 5, wanaweka nane!
Line ya simu anasajiri kwa jina la mtu mwingine kabisa, vijana wenye njaa, ukimpa 50,000 ukamwambia sina namba za NIDA naomba nisajirie kwa jina lako anakubali, kumbe anaenda kusaidia mharifu!
Wahalifu wengi huchora tukio hata zaidi ya mwaka!
Mawasiliano yao ni Whatsapp na Telegram tu! No video call, no voice call no sms charts!
Anaweza zima simu siku mbili,na akizimia simu Dar anakuja washa akiwa Dodoma!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unajua hiiMawasiliano yao ni Whatsapp na Telegram tu! No video call, no voice call no sms charts!.....
Kwenye WhatsApp wanatumia njia ipi??
wenzie wanaenda wakatumia nafasi hyo hyo..Thus makes sense hapa jamaa walikua wanajua wenzie wanaenda wakatumia nafasi hyo hyo..
Sio rahisi wafanyakazi wakawa wazembe hvo
Huenda ikawa darKesi itakua wapi?? Kibaha/Dsm/ Kahama??
Kibaha Pwana hakuna Mahakama kuu, na kesi za mauwaji huanzia High Court!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Alieua ana haki na alieuwa ana hakiAlieua ana haki na alieuwa ana haki pia so wote wana haki. Nilisema tuheshimu haki za wenzetu. Hakuna mtu anaua tu mwenzake labda awe kichaa
Yetu macho na masikioTime will tell nimekaa [emoji117]
Hata siifahamu... Inahusiana na Nini??Unajua hiiView attachment 2549913
Hata siifahamu... Inahusiana na Nini??
Pana watu Wana high sense of imagination ya kusense tukio na kukupa picha halisi ya muhusika aliyefanya tukio yaani Wana uwezo wa kumtambua muhusika wa uhalifu kupitia imagation.White magic inatumikaje kumnasa mhalifu? Toa elimu embu
Mchaga akatae deal sahau
KabisaKweli mkuu yaani hapo kama alipiga deal akawarusha wenzake.
Yani u imagine mauaji upuuzi huuuPana watu Wana high sense of imagination ya kusense tukio na kukupa picha halisi ya muhusika aliyefanya tukio yaani Wana uwezo wa kumtambua muhusika wa uhalifu kupitia imagation.
Ni elimu utumiwa hata na Mashirika makubwa ya kijasusi wanaitumia. Inaitwa PSYCHIC
Kuna asilimia nyingi sana huyu bibie alipiga mshindo halafu kawazunguka wenzake..... nadhani pia polisi wataangalia namna alivyoacha kazi.
Siamini kama ni mapenzi.... hii issue itakuwa ni pesa tu inahusika
Eti upuuzi, elimu ni pana kuliko usiyoyajua.Yani u imagine mauaji upuuzi huuu
Kuna post hapa JF kuhusu yule kijana aliyeenda jela kwa kumpa mshkaji wake geto lake wafanye yao na demu wake jamaa akiwa hayupoTunaomba ufafanuzi mzuri hapa Mshana Jr
Ivi hii channel ipo kwenye king'amuzi gani siku hizi? Maana startimes walitoaIla discover investigation na discovery id extra zmewadanganya watu sku izi kla mtu ni investigator
Mtaalamu wa akili ni mtu anayedai kutumia utambuzi wa ziada (ESP) kutambua taarifa iliyofichwa kutoka kwa hisi za kawaida, hasa zinazohusisha telepathy au clairvoyance, au ambaye anafanya vitendo ambavyo havielezeki na sheria za asili, kama vile psychokinesis au teleportation.Pana watu Wana high sense of imagination ya kusense tukio na kukupa picha halisi ya muhusika aliyefanya tukio yaani Wana uwezo wa kumtambua muhusika wa uhalifu kupitia imagation.
Ni elimu utumiwa hata na Mashirika makubwa ya kijasusi wanaitumia. Inaitwa PSYCHIC
Huwezi track mawasiliano ya telegraph au whatsapp! Hata kama watafanya video call au sms za whatsapp na Telegram huwezi wapata!Mawasiliano yao ni Whatsapp na Telegram tu! No video call, no voice call no sms charts!.....
Kwenye WhatsApp wanatumia njia ipi??
Binti miaka 30?Ndoto za binti huyu zimezimika ghafla.