Mkuu naomba tuwasilianeNaitwa Denis Samwel nipo Tabata Natafuta Gari ya kufanyia kazi ya usafiri wa Mtandaoni yaani Uber, Taxify na Ping.
Account zote Ninazo pia Niko na licence inayoniruhusu kufanya kazi hii, Pia niko Hati ya Tabia njema kutoka Wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Umri wangu miaka 27.
Hesabu ni sh. 25000 kwa siku gari nataka mkataba na mkataba utegemeane na Gari ya muhusika mwenyewe maana inawezekana ikawa imetumika kiasi chake, Ikiwa mpya ni miaka 2.
Gari inatakiwa Iwe Toyota Ractis, IST Au VITZ. Mimi ni mwajiriwa wa kampuni moja hapa mjini kwahiyo hesabu ya 25000 kwa Siku haiwezi kunishinda,.
Ahsantenii. Namba zangu 0716397525 au 0684731015
0757925487Mkuu naomba tuwasiliane
BadoUlipata gari?
Bado
yani kwa mkataba, maana yake ikipita miaka miwili unachukua gari linakuwa la kwako?Naitwa Denis Samwel nipo Tabata Natafuta Gari ya kufanyia kazi ya usafiri wa Mtandaoni yaani Uber, Taxify na Ping.
Account zote Ninazo pia Niko na licence inayoniruhusu kufanya kazi hii, Pia niko Hati ya Tabia njema kutoka Wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Umri wangu miaka 27.
Hesabu ni sh. 25000 kwa siku gari nataka mkataba na mkataba utegemeane na Gari ya muhusika mwenyewe maana inawezekana ikawa imetumika kiasi chake, Ikiwa mpya ni miaka 2.
Gari inatakiwa Iwe Toyota Ractis, IST Au VITZ. Mimi ni mwajiriwa wa kampuni moja hapa mjini kwahiyo hesabu ya 25000 kwa Siku haiwezi kunishinda,.
Ahsantenii. Namba zangu 0716397525 au 0684731015
Bajaji 30000, ndo maan nmeshangaaYani bajaji alete hesabu ya 25,000 na ubber nayo iwe 25000???
Mkuu, hesabu ya siku 25,000 kwa uber/bolt si ndogo kuikusanya. Pia, kwa miaka 2 anakuwa kaleta Mil 18 kabla ya kutoa gharama nyingine za mmiliki.Yani bajaji alete hesabu ya 25,000 na ubber nayo iwe 25000???
Ubarikiwe mamaMungu akutangulie Denis
Ngoja nigawe namba yako kwa watu wa mauzo..... Unapotafuta kazi kama utapata fursa ya kujitolea fanya! ukijitolea waweza pewa nauli kwa kuanzia na commission kama utafanikisha chochote
Pole Sana mkuu,Allah akujalie sawa na hitaji lako.
Sitegemei kuona comments za kwamba jiajili