Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

Naitwa Denis Samwel nipo Tabata Natafuta Gari ya kufanyia kazi ya usafiri wa Mtandaoni yaani Uber, Taxify na Ping.

Account zote Ninazo pia Niko na licence inayoniruhusu kufanya kazi hii, Pia niko Hati ya Tabia njema kutoka Wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Umri wangu miaka 27.

Hesabu ni sh. 25000 kwa siku gari nataka mkataba na mkataba utegemeane na Gari ya muhusika mwenyewe maana inawezekana ikawa imetumika kiasi chake, Ikiwa mpya ni miaka 2.

Gari inatakiwa Iwe Toyota Ractis, IST Au VITZ. Mimi ni mwajiriwa wa kampuni moja hapa mjini kwahiyo hesabu ya 25000 kwa Siku haiwezi kunishinda,.

Ahsantenii. Namba zangu 0716397525 au 0684731015
Mkuu naomba tuwasiliane
 
yani kwa mkataba, maana yake ikipita miaka miwili unachukua gari linakuwa la kwako?
 
Yani bajaji alete hesabu ya 25,000 na ubber nayo iwe 25000???
Mkuu, hesabu ya siku 25,000 kwa uber/bolt si ndogo kuikusanya. Pia, kwa miaka 2 anakuwa kaleta Mil 18 kabla ya kutoa gharama nyingine za mmiliki.

Hata hivyo bei ya kununua bajaji na gari ndogo kama vitz hazipishani sana...laki 2 au 3.
 
Mungu akutangulie Denis

Ngoja nigawe namba yako kwa watu wa mauzo..... Unapotafuta kazi kama utapata fursa ya kujitolea fanya! ukijitolea waweza pewa nauli kwa kuanzia na commission kama utafanikisha chochote
 
Umeenda kusoma mauzo ikiwa hauna kitu cha kuuza? Umeenda kusomea masoko ilihali hauna bidhaa ya kupeleka sokoni tena ulilipa pesa kwa miaka mitatu wao wakakupa karatasi lenye jina la chuo na hiyo karatasi haitambuliki benki kwamba utakopea pesa, , ingekua bora wangekufundisha skill ya kuzalisha bidhaa utayopeleka sokoni ili utumie ujuzi na utaalaamu kuiuza na kuifikisha sokoni
 
Pole Sana mkuu,Allah akujalie sawa na hitaji lako.

Sitegemei kuona comments za kwamba jiajili

Ndio yeye alisomaje mauzo huku hana bidhaa ya kuuza sokoni? Kwa nini wasingemfundisha kutengeneza bidhaa ili aipeleke sokoni
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom