LL.B 1st class holder

First Class kukosa kazi kuna tatizo. Inawezekana ulikuwa unameza tu huwezi hata kuelezea unachojua. Law firms kibao, Ofisi ya DPP, Vyuo, Companies, kote umeshindwa?

Wewe utakuwa una first classya kumeza.
 
Du! mwanangu ulikuwa kipanga kweli weye.

Jamani basi Inatosha Kwani Mnanifanya Nicheke hadi Navunja Mbavu!!!!!! Asante Jamii Forum na Kaubaridi haka Ka Dar Leo Ni Buruuuuuuuuuuudani Kwa Kwenda Mbele.
 
Mnaponda sana kuhusu tumaini nyie watu ila kwa taarifa yenu ndo chuo kinachotoa watu wazuri kwa sheria nenden law xul muone wanafunz gan wanaongoza kwa kufaulu tena first seating co kwa kusup...chezea nyie.ulizeni maadvocate walioapishwa tar 6/12/2013 wengi product ya tumain.shenzi nyie.hao ud mambulula tuu nenden law xul mkaone wanavyofanya discussion zao za ki form one.nyie vip nyie.kitanda usichokilalia hujui kunguni wakee.
 

Dah uandishi huu kweli TUMAINI hamna kitu
 

acha kuwa na mtazamo finyu kwani tumaini sio chuo?
 
Jamani vitu vimebadilika. cku hizi hakuna how you perform it is just who knows you.
kama kuna mtu anaweza kumsaidia amsaidie tu. mimi mwenyewe nimemaliza UDSM nilikua nakimbiza balaa kuanzaia primary mpaka chuo.
lakini no body cares nipo hm.

mbona wenzio hapo juu wanajitapa sana na hicho chuo nikajua wenzetu mliosoma UDSM kusoma tu UDSM ni moja ya qualification ya kupata kazi
 

acha kuandika vitu vya uwongo, umepitia cohort zote na kuona hakuna wanafunzi wakutoka tumaini?sisi kwenye firm yetu nusu walikuwa wanafunzi kutoka tumaini na mmoja tu kutoka UDSM je ningekuwa sahihi kama ninge conclude kuwa waliosoma UDSM wanaogopa kwenda lawschool? Halafu mbona nawafahamu watu wengi tu waliosoma law school kuoka tumaini na wamefaulu, au wewe ulisoma law school ya nchi gani?
 
Lakini na nyinyi acheni dharau. Kwa nini mnabeza hivyo hizo festi klasi za Tumaini? Kwani wanaosoma Tumaini hawawezi kuwa na festi klasi? Acheni dharau zenu hizo. Kusoma UDSM wala si ujiko kihivyo.

kuna mtu kaandika hapo juu eti first class ya tumaini nisama na form six PCM, wanaona kama hicho chuo kilishushwa kutoka mbinguni
 

kwahiyo hiyo hiyo 2002, ndo sample yako ambayo unaitumia hadi 2014, nakushangaa sana, ukombozi wa kifikra kwako bado sana kama hivyo ndivyo unavyo reason mambo
 

wana muonea wivu kwavile wao wana pass aka gentle man
 











Chezea Kitivo wewe....!!!!
 
Hilo jina tu.

Na hivi ni kwa nini hakujawa na 1st class tokea miaka hiyo. Nini kilicho kigumu kuhusu sheria ambacho kinawafanya watu washindwe kupata hizo 1st class?

Au wanafunzi wanaochukuliwa kwa hiyo kozi ni vilaza?










Bwana Nyani (Kima/Tumbili) ni kwamba Kitivo cha Sheria hakigawi marks bali kinatoa ueledi
 
daaaa inaonyesha wewe ujasoma LLb kabisa kama wewe umesoma law karibu law school of tanzania njoo na hiyo 1 class yako utukute sisi wenye pass uone jinsi tunavyokukimbiza kama vile hujawahi kusoma ok

kwani mtoa mada amesema anatafuta wa kushindana nae? Anatafuta kazi, kama hata popic huielewi je kushindana nae utaweza? Au ndo makelele ya debe tupu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…