Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
Kama ni kweli, basi mademu wa kitaa wamekwisha. Maana atawatafuna!?
Hana ujanja huo sasa anakazi ya kurekebisha afya kwanza.
Kama ni kweli, basi mademu wa kitaa wamekwisha. Maana atawatafuna!?
Wana Jf, nimesikia habari toka kwa baadhi ya watu kuwa eti leo majira ya saa 3:30 asubuhi, yule jamaa A. Liyumba amekua huru ktk kifungo alichokua anatumikia. Je ni kweli yu huru?
Duh kwa hiyo in maana kuwa ile simu imemsaidia??
Kweli Staring huwa hafi kwenye sinema. Akifa movie inakwisha!!
Hayo maandamano mbona hayana tija yoyote zaidi ya ulevi tu?.hizo fedha mlizotumia kusafiria si mungezichanga na kuwanunulia vijana wa shule madawati?.nanyinyi mafisadi wakubwa vichwa vyenu.
Wenye weredi tulijua kwamba simu yake gerezani ingemwokoa haswa kwani hakuwanayo kwa bahati mbaya bali kwa mikakati thabiti na haya ndo matunda yake.Hatimaye Liumba ameachiwa huru leo!
kila la heri wapiganaji ni lazima vasco da gama aonje joto ya jiwe hukohuko ughaibuni
Hivi alikua na kifungo cha miaka mi3 au mingapi?kama ndo hivyo wamemwesabia kwa masaa. Hii inaitwa Tanzanha bana ya kwanza duniani kukumbatia maovu
Hayo maandamano mbona hayana tija yoyote zaidi ya ulevi tu?.hizo fedha mlizotumia kusafiria si mungezichanga na kuwanunulia vijana wa shule madawati?.nanyinyi mafisadi wakubwa vichwa vyenu.