Liyumba Huru!

KAMA yupo huru ni sawa, kwan sheria ilichukua nafasi yake, kama ni kifungo katumikia, jela kapaonja. mi nadhan anakesi nyingine mbele mbele ya mahakama ya kisutu. ngoja tusubiri tuone. bt HAKI IONEKANE KUTENDEKA.
 
....Naomba dili la kuiba serikalini jamani,maana mambo yako poa!! Unaiba and then unawekwa huru,hii nchi bana!!
 
Yuko huru kwa kosa la kukutwa na simu gerezani itakuwa waendesha mashtaka wameshindwa thibitisha kesi yao pasipo shaka yeyote. Ila kwa kesi ya matumizi mabaya ya nafasi yake na kuisababishia serikali hasara hawezi kuwa huru mpaka kifungo chake kiishe mwakani. Vyombo vya habari vya habari vinaandika ili viuze na hutumia lugha shawishi.
 
update:
Kuna wengine wanadai sisi ni wanachadema. Hapana sisi ni watanzania. Waandaaji wakuu ni "u.v.c.c.m" na chadema hawana mkono wala hawajui kinachoendelea hapa. Kikwete asitafute mchawi kwenye kila kitu. Mchawi ni yeye mwenyewe na ufisadi wake

Mh, Kikwete atafute mchawi kwa kazi gani! Kitu ambacho hamuelewi huko mliko ni kwamba JK anaheshimika sana kimataifa - na Viongozi wa kimataifa wanao muheshimu JK walinafanya tathimini yao kwa kina hawakurupuka; na wenzetu hawa wakisha mtathimini mtu basi, usije ukajiidanganya au kujipa matumaini kwamba unawawezi kwenda behind his back na kuwambia Wamerikani kwamba JK hafahi na kumvunjia heshima JK kwa kumzulia mambo mengine ambayo hayana kichwa wala miguu, hakuna atakaye wachukulia seriously katika hilo.

Mimi ninacho washauri shirikiana na JK kuendeleza Tanzania, andamaneni na mabango ya kuomba misaada ya kisayansi na tekinolojia ambalo hilo JK ameliweza sana kwa kuwa na mazungumzo na wakina Bill Gates, IBM, HP, General Electric, Mahospitali bingwa wa magonjwa ya moyo na neva anataka wawe na branch zao nchini, Vyuo Vikuu Mahili vya Utafiti Merikani kaenda mpaka Silcon Valley - hiyo ndiyo hulka halisi ya Jakaya, anafanya kila awezalo kuendeleza nchi yetu - lakini kwa bahati mbaya hilo huwa alizungumzwi! Kazi yetu ni kumlahumu left,right and center, hivi kwa nini?

I am not saying Jakaya is some Angel Gabriel far from it, yeye ni binadamu kama wengine ana mapungufu yake, lakini looking back kwa mambo ambayo ameweza ku-achieve on behalf of our Nation this man deserves credit siyo lawama zisizo na msingi. Nawashukuruni kwa muda wenu, godbless URT.
 
kweli masaburi alikua sahihi, sio wabunge tu wanafikiria kwa kutumia nanii hata wengine humu jf.
 
kweli masaburi alikua sahihi, sio wabunge tu wanafikiria kwa kutumia nanii hata wengine humu jf.

Mkuu lugha za mitaani tunazijua sana lakini hapa hii forum ni ya kubadilishana mawazo na siyo kuleta kiswahili cha kijiweni. Kumbuka vile vile siyo lazima nikubaliane na pre-concieved ideas zako za ku-inflate mabaya tu ya JK na kusahau kuwa kuna vile vile mazuri mengi ambayo amefanyia TAIFA hili nayo vile vile yanapashwa kuorodheshwa hili watu wa-strike a balance, sina hakika kama umesoma kwa makini niliyo andika humu nemesema hivi "JK siyo malaika"anaweza kuwa na mapungufu yake kama wewe na mimi tulivyo.

Kama ungesoma between the lines mimi nilichokuwa nawashauri wenzetu walio nje ni kwamba watumie muda wao wa ziada kutafuta wafadhili au investors ambao wana huwezo wa kusaidia taifa hili na ikiwezekana washirikiane na JK kutimiza hilo na siyo kubeba mabango ambayo hayatasaidia chochote Taifa hili - wenye sharp analytical mind wataliona hilo lakini watu wenye skewed mind kama zako majibu yao na kama hayo ya kijiweni uliyo leta humu.
 
Kudadadeki, matunda ya ile call aliyompigia Jk, halafu wakazuga eti amefunguliwa shtaka la kukutwa na simu gerezani, kumbe amefunguliwa milango ya kutoka jela..hii nchi kuna watu wanaifanya kama mali yao binafsi..yaani wako juu ya kila kitu ..
 
wote mnaotaka kuandamana na mkijaribu tu mtakiona cha mtema kuni, labda mfie hukohuko DC majina yenu tunayo. mkuu wa kitengo cha kutesa.
 
Huyu jamaa mie nilisikitishwa sana alipotiwa hatian...!! Kama ni mpangaji wa Magogoni kahusika na uhuru wake basi kunaterms ambazo kwa namna moja ameshindwa kuzimezea, hvo akaamua amwache asije umbuka!!! Sasa aulizwe vizuri mkuu wa Kaya waliongea nn na mtu alie hatian na yupo Gerezani!!! zis is very serious, HONGERA LIYUMBA KWA KUFANIKISHA maana ulikuwa mbuzi wa Kafara tu pale. Nakumbuka vizuri siku ile nimehudhuria mahakaman pale, arctecture anaulizwa hela zilizokuwa zikiongezeka zilienda wap akadai zilitumika kwenye ujenz, sasa kilichokufunga nn Liyumba.
 
Back
Top Bottom