Liyumba Huru!

Hayo maandamano mbona hayana tija yoyote zaidi ya ulevi tu?.hizo fedha mlizotumia kusafiria si mungezichanga na kuwanunulia vijana wa shule madawati?.nanyinyi mafisadi wakubwa vichwa vyenu.
 
Ngoja tusikilizie,,inawezekana ni mwendelezo wa mazingaombwe yale yale ya ccm na serikali yake?
 
Wana Jf, nimesikia habari toka kwa baadhi ya watu kuwa eti leo majira ya saa 3:30 asubuhi, yule jamaa A. Liyumba amekua huru ktk kifungo alichokua anatumikia. Je ni kweli yu huru?

Duh kwa hiyo in maana kuwa ile simu imemsaidia??

Kweli Staring huwa hafi kwenye sinema. Akifa movie inakwisha!!
 
Kesi yenyewe ni ya kubambikiwa alitolewa bangusilo huyo

all in all inasemekana wafanyakazi wa bot walim miss sana huyu ila sijui kama zile pesa zake bado zipo
 
Duh kwa hiyo in maana kuwa ile simu imemsaidia??

Kweli Staring huwa hafi kwenye sinema. Akifa movie inakwisha!!

zombe alipewa kuwa msemaji wa chama, tunasubiri liyumba atapewa cheo gani!
 
Liyumba amemaliza kifungo chake cha miaka miwili aliyohukumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, ikumbukwe hata mahakimu walitofautiana mmoja alisema hana hatia wawili wakamtia hatiani, nilikuwepo siku ya hukumu na nikasikiliza kwa umakini mwanzo mwisho, my take jamaa alitakiwa afungwe come rain come sun, ila kwamba alikuwa amebananishwa na kesi ahh sidhani na ningependa kujua yule hakimu ambae hakumtia hatiani kama bado yuko pale kisutu. Hata kama jamaa alikuwa kapiga hela bado si busara kumfunga kwa style ile, hakukuwa na kesi ila ilikuwa lazima asote jela. Angalia kuanzia dhamana yake ambayo hakuipata. Yule Gire wa Richmond walimkamata, akapata dhamana na faster kesi yake imeshaisha na jamaa kashinda nafikiri saa hizi atakuwa keshafungua madai yake ili avute mpunga mwingine, siasa mbele daima, PCCBd wataalam wa kuchunguza kama wapo basi nao naona wanatafuta majimbo ya kugombea
 
Hayo maandamano mbona hayana tija yoyote zaidi ya ulevi tu?.hizo fedha mlizotumia kusafiria si mungezichanga na kuwanunulia vijana wa shule madawati?.nanyinyi mafisadi wakubwa vichwa vyenu.

ebu angalia vizuri shangazi! Inaonekana kuna kakitu kamoto umekakalia! Ndio maana umekurupuka kwenye issue ya Liumba ukaleta story za maandamano.
 
Kuna nini tena Ughaibuni mwenzetu mbona unatuchanganya kwa kuvuruga mada ya Liyumba kumaliza LIKIZO YAKE aliyopewa na CCM ili fedha zilizokwapuliwa zisipatikane???????????

kila la heri wapiganaji ni lazima vasco da gama aonje joto ya jiwe hukohuko ughaibuni
 
Hivi alikua na kifungo cha miaka mi3 au mingapi?kama ndo hivyo wamemwesabia kwa masaa. Hii inaitwa Tanzanha bana ya kwanza duniani kukumbatia maovu

simu alizokuwa anampigia mkuu wa kaya zimezaa matunda.
 
Hayo maandamano mbona hayana tija yoyote zaidi ya ulevi tu?.hizo fedha mlizotumia kusafiria si mungezichanga na kuwanunulia vijana wa shule madawati?.nanyinyi mafisadi wakubwa vichwa vyenu.

punguza hasira ndugu.
 
Liyumba is now back again. Wenye madem mjini kaeni chonjo.
 
Back
Top Bottom